LIGI IMERUDI MASHABIKI WA NYUMBU MLINENEPA SANA NYUMBU NYIE
Members of the women team? WTFBREAKING: #mufc have delayed confirming Mason Greenwoodβs future at the club as they want to consult all key stakeholders, including all members of the womenβs team.
[BBC]
#ππ§πͺπ¨π©πππππ§π€πππ¨π¨πππ
#ππ£ππ©ππππ€π§π©πππππ£π¨
#πππππ ππ ππ¨π¨ππ’ππ£πΌπ©πππ£ππ©π
#ππ‘ππ―ππ§πππ
#ππππ
man utd |
Walete ofa chap kabla dirisha halijafungwaInter Milan are considering signing Anthony Martial
[Caught Offside]
#ππ§πͺπ¨π©πππππ§π€πππ¨π¨πππ
#ππ£ππ©ππππ€π§π©πππππ£π¨
#πππππ ππ ππ¨π¨ππ’ππ£πΌπ©πππ£ππ©π
#ππ‘ππ―ππ§πππ
#ππππ
man utd |View attachment 2714635
Hizi ni habari mbaya kwa sisi wapenzi wa Greenwood tunaotamani kumuona akirejea kikosini. Zitaanza kutembea Hashtag soon.π²π°π΄π¬πΎπ¨π²π¨
A group of #mufc supporters are planning a series of protests to make it clear they don't want Mason Greenwood back. A banner will be unfurled against Wolves.
[The Athletic]
#ππ§πͺπ¨π©πππππ§π€πππ¨π¨πππ
#ππ£ππ©ππππ€π§π©πππππ£π¨
#πππππ ππ ππ¨π¨ππ’ππ£πΌπ©πππ£ππ©π
#ππ‘ππ―ππ§πππ
#ππππ
man utd |View attachment 2714630
Mkuu kuna πΌπ«πΎπ¨π΅ππ° unaendelea hii dunia mpaka nashindwaga kuelewa hawa wanawake wanatutakaga nini kwenye haya maisha, Kama Mason keshaonekana hana hatia na kakubari kuishi na Demu wake shida ipo wapi mpaka wanaendelea kumsakamaMembers of the women team? WTF
Hakuna movements nazichukia kama movements za feminists na LGBTQ. Hawa wapuuzi wanavuruga sana michezo na siasa zao.Mkuu kuna πΌπ«πΎπ¨π΅ππ° unaendelea hii dunia mpaka nashindwaga kuelewa hawa wanawake wanatutakaga nini kwenye haya maisha, Kama Mason keshaonekana hana hatia na kakubari kuishi na Demu wake shida ipo wapi mpaka wanaendelea kumsakama?..?, na wanasahau Mason ni kijana mdogo tena tuseme mtoto tu.
Walimtia kizuizini MendY kwa kesi ya kubambikiza ety kabaka mwisho wa siku imegundulika ni uongo mwanamke alikuwa karidhia, hivi Mendy akisema amfungulie kesi ya madai yule Dada ataweza kulipa fidia?..? ila nahisi jamaa kaachana nae tu kaina apotezee.
Pia nafikiri hizi issue kama hizi kwa BLACKs zinakuzwa sana, Jiulize kesi ya ubakaji ya Benzema wala haizungumziwi ikiibuka inazimwa chap, halafu ukizingatia na mafanikio wanayoyaona BLACKs wanapata wanakereka sana hawa WHITEs hawajawahi kutupenda.