Tumepigwa apa
Sasa kama mabwege wa kutapeliwa wapo ya nini sisi tuumize ubongo kupita njia ndefu. Mjini ni kuishi kwa kutumia bongoBaada kupigwa sana kwenye sajili za kitapeli naona na nyinyi mkaanza rasmi kujifunza technic za utapeli?
Hizi biashara za kitapeli mlizoanza nazo msimu huu kwa Kai Harvez na FreeMason naona ni mwanzo mzuri sana kwenu kuingia kwenye chama la matapeli.
ukiondoa Rashid na Casemiro hakuna mchezaji anaekunja 300k Ten hag hataki hiloNa anakunja 300k kwa wiki
goli 9 assist 5Kwaio impact ya Anthony ni pre season,? Mtu yupo tangu msimu uliopita wote ule
Tukiwaita nyumbu mtasema tunawatukana?