Muhimu "Katoka golini" tena zaidi ya OnanaNdio anavyofanyaga hivyo kila inapotokea kona au zikiwa zimebaki dk 2 na wanaongozwa
Onana alitakiwa kuwa mchezaji kiungo au beki lakini si kipa. Hata alipokuwa akiichezea Cameroon kwenye World Cup 2022, alitofautiana na kocha wake kwa sababu ya kucheza wanjani na kuacha goli wazi hadi ushiriki wake wa michuano hiyo ulipokatishwa
Shopping tumeshafanya hata dhumuni hatuna, pambaneni na hali yenuHuyu Fremason Mount mbona kama ana uWighorst ndani yake?
Unakosaje sasa kufunga goli uko peke yako tu na kipa?
Hivi Chelsea mnatuchukuliaje kwani?
Kwani pesa yenu mshalipwa yote maana dirisha bado liko wazi.
Haya mambo ya kujibebea furushi lolote tu lile kwa kua ni liingereza tena jeupe naona bado hatujajifunza vizuri kwa Le captain Maguire.Na anakunja 300k kwa wiki
Baada kupigwa sana kwenye sajili za kitapeli naona na nyinyi mkaanza rasmi kujifunza technic za utapeli?Shopping tumeshafanya hata dhumuni hatuna, pambaneni na hali yenu
Arsenyo sio leo ni kesho ndio anauchezea upara wa Pep.Kuna kichwa cha Rashidi aafu kuna kichwa cha Case aafu kuna kichwa cha CR7 hivi vichwa vinalijua goli kuliko miguu yao
Gernacho akikaa huu upande
Enewei tusubiri kichapo anachokula Aseno jioni ya Leo wakati tukishuhudia West ham akipokea kipigo kitakatifu
Leo kacheza vizuri, kafanya saves za muhimu. Lile goli wenzie ndiyo wamemponza. Yeye kama kipa anapaswa kujua mapungufu ya mabeki wake, Martinez tu ndiyo ana utulivu miguuni.Ila kuna wachezaji wengine wanasajiliwa unabaki tu kukaa kimya labda watabadilika
Kama onana lazima de gea tutamuomba tena kwa mkopo
Leo wanajificha kwa Onana na clean sheet.Arsenyani leo hawaleti uchambuzi wa Antony?
😂😂😂 Hii picha ndiyo inawafanya wamchukie kijana.Leo wanajificha kwa Onana na clean sheet.
Arsenyo wenyewe wanatambua mechi ijayo ya Epl na Man Utd Masebene lazima atawafanya kitu mbaya. View attachment 2709270
£250kNa anakunja 300k kwa wiki
Hapo wote mmekutanaLeo wanajificha kwa Onana na clean sheet.
Arsenyo wenyewe wanatambua mechi ijayo ya Epl na Man Utd Masebene lazima atawafanya kitu mbaya. View attachment 2709270
Kwaio impact ya Anthony ni pre season,? Mtu yupo tangu msimu uliopita wote uleArsenyani leo hawaleti uchambuzi wa Antony?
Hio sio sana, kuna hii hapa aliwang'ong'a baada ya kuwafunga goli maridadi kabisa ndio imesababisha mashabiki wa Arsenyani kua na kinyongo nae mpaka leo.Hii picha ndiyo inawafanya wamchukie kijana.
Sawa ni pazia lakini bado linaafadhali ukinganisha na hili pazia lenu lenye matobotobo.Watani zangu tafuteni, msione ugumu kukubali kwamba hili ni panzia View attachment 2709295