Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mdogo mdogo naona mambo yanaenda si haba 🔥🔥🔥🔥
 
Kuna kichwa cha Rashidi aafu kuna kichwa cha Case aafu kuna kichwa cha CR7 hivi vichwa vinalijua goli kuliko miguu yao

Gernacho akikaa huu upande

Enewei tusubiri kichapo anachokula Aseno jioni ya Leo wakati tukishuhudia West ham akipokea kipigo kitakatifu
 
Aiseeee tokea pre-season imeanza huyu Fremason binafsi sijaona impact yoyote toka kwake zaidi ya zile picha zake tu za kupendeza amepiga akiwa anatabasamu ndani ya uzi wa Man Utd.
Tumeacha kumsajili Caicedo tukacheza kamari kwa huyo jamaa na hana maajabu yoyote!
 
Aiseeee tokea pre-season imeanza huyu Fremason binafsi sijaona impact yoyote toka kwake zaidi ya zile picha zake tu za kupendeza amepiga akiwa anatabasamu ndani ya uzi wa Man Utd.
Ila kuna wachezaji wengine wanasajiliwa unabaki tu kukaa kimya labda watabadilika
Kama onana lazima de gea tutamuomba tena kwa mkopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…