Kwa hizi beki zetu Onana atafungwa goli nyingi sana Kama hizi akiendelea kuvuka mstari… ieleweke timu yetu bado hatuna viungo wa kuficha mpira angalau kwa dk1.. So counter yoyote kuja kwetu ni maumivu hasa ukizingatia hizi beki zetu. Hili goli ni la Varane kabisaaaa… kashindwa kocontrol pass imempita akiwa kwenye possision nzuri tu… na kwasababu alishasogea kumsaidia coz alishaona Show amefungua kule kushoto…. Kosa moja gori moja.. Na ligi ndo hii inaanza kesho tu.. kunahaja ya beki wa kati wa kumsaidia Martinez otherwise tutapikwa sana msimu huu