Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Player ratings

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ

#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨

#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™

#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™

#π™‚π™‚π™ˆπ™


man utd |View attachment 2703675
 
Shida yako huwa unakurupuka kujibu as if kila post humu inakuhitaji uijibie, soma uelewe ukiona huelewi ujue haikuhusu kaa kimya.
Nisielewe nini wakati sentesi ya hapo mwanzo inajieleza.

Una bahati leo sina vibe la kuwasha moto next time utaeleweshwa kwa facts usipoelewa sitaki lawama kuitwa sina adabu humu ndani
 
Onana anacheza na upepo wa media ,hivi Kati ya magwaya na lindelof Nani alifanya kosa kubwa?

Mbona kwa lindelof hakumfokea , ila sababu anajua magwaya ndiye mbuzi wa kafara hatakiwi hata kukosea kidogo kamuwakia
 
Correct

Pia 1 tupate walau back up ya casemiro... Je ambarat ni natural cdm au ni 8 cm... Mainoo anaonesha ana uwezo wakuwa cover up ya hio space as he keeps on growing a young amateur into a starting eleven

Hivi tukimleta ambrat tutachezake hapo kati au mmoja atakuwa benchi..some reasonable questions huwa ni ufungo wa upeo mzuri wa development au tutacheza na double pivot hapo kati ambarat casemiro

2 mi naombea leo kesho Greenwood arudi thats my final say najua kuna kitu hakipo sawa for a reason
(i) inconsistent ya Rashford inatakiwa kuwa na catalyst ya mtu waku mpush ikiwezekana sometimes akae bench akili mkae sawa ... Hapa mtu anaweza aka kuona hater kumbe unakuwa cautious na approach zilizo mbeleni tunaenda compete major trophy and some things zinaweza simama kama setback kweny plan ya coach

(ii) Antony is a wonderful a bright promising future star ila tatizo lake la uchoyo uchoyo una wa influence wengine wawe kama yeye asa sijui major factor ni nn ya ucho hii upelekea ku disrupt team work na kwenye crucial moments za ushindi huwa ni disgrace
Pia anategemea sana left foot nataman coach azidi kumpika awe na confidence ya kushoot with right foot bia sio 98% left 2% right foot
 
Wazo la Eric kumchukua Antony sio baya ila alitakiwa awahi ule wakati price tag ikiwa €40m,Ajax walibadili price tag ili timu zikae nae mbali kwa sababu walikuwa wameuza wachezaji muhimu wa first 11 kama 5/6.

Antony angesajiliwa kwa thamani ile ya mwanzo hakuna ambaye angelalamika €100m ni kubwa sana.

Njia pekee ya kupata winga mwingine ni pesa ya mmiliki mpya tu,ama ikitokea Greenwood karudishwa na bado physically na mentally yupo vyema Antony benchi litaanza kumuita maana kijana balaa lake linaeleweka.
 
Hapo kwenye kupiga miguu yote ndio inafanya watu wakumbuke zile shuti za mguu wa kulia za Greenwood hapo ni weak foot.
 
Greenwood akirudi anahitaji mazoezi wiki 2 tu , Anthony anaenda bench mazima
 
Wewe subiria moshi uanze kufuka kwa jirani ukija kushtuka kwako kumeungua. 😁

Arsenal downfall yenu naisubiri sana, last season mlikuwa humbled kwa lazima.
 
EtH apambane tu na mwanaye. €100m nyingi sana akiomba tena pesa ya RW atalambwa makofi kweli. πŸ˜‚

Wa kumuokoa ni Greenwood tu. Ila huenda Antony akifika 25 ata-improve.
 
EtH apambane tu na mwanaye. €100m nyingi sana akiomba tena pesa ya RW atalambwa makofi kweli.


Wa kumuokoa ni Greenwood tu. Ila huenda Antony akifika 25 ata-improve.
Shida nawaza nijinsi gani mashabiki watakavompokea
Hapa kuna categories kama 3
True (real) fans
Casual fans
Plastic fans

Hawa bana ndio nguzo kuu ya timu...why
Uongozi unaskiliza upepo wa mashabiki ambao upo gradually revolving toward acceptance ya mchezaji ndani ya timu ni hivi tunaona Greenwood anafanya sana mazoez hii kwao viongoz wanatumia kama bait kunasa overall review ya mashabiki wanaonaje uwepo wakijana ndani ya team yao..ambapo kama review zikiwa positive basi hata brand kama adidas wata kuwa convinced kweny kufanya majidilano ya kum recruit tena kijana ndani yakikosi

Shida ni nn...hawa FANS sasa

1 real fans wana kila sababu ya kumpokea kijana regardless na decision zilizotolewa na court on how dogo ame being proven innocent bas anahaki ya kurejea na wao wana kila sababu za kum guard agaist casual fans na plasti fans

2 casual fans.. Mashabiki wapo hawapo hawa wengi ujifucha ndani ya kivuli cha ushabiki wa timu flani kumbe sio team yake ni nyengine plus plastic fans wao wanaonaga makosa zaidi ya maendeleo ya timu ...utakuta tu wanasema team yangu nayo ijua haiwez mrudisha mbakaji yani hata bila kujua kuwa dogo kasha being proven innocent wao wanakandia tu bila sababu za msingi wengi wao huendeshwa na mihemko hisia na arrogance na njaa

Hawa watakuwa wana play key role ya kumpa dogo confidence au kumpunguza juu ya uchezaji wake na uimarikaji wake waki michezo ndani n a njee ya uwanja

Hawa hawa ndio baadhi yao watakao kuwa wanamzomea na kumkejeli kwakumuita rapist akiwa ndani ya uwanja...
Jee kijana ataweza ku overcome hizi situation jee ataweza kuwa matured enough tu conquer hizi scenario ambazo kwa aina moja au nyengine zina weza ku atter performance yake ndani na njee ya uwanja

Lastly sisi kama mashabiki kwakua mahakama imemtambua kijana Greenwood yuko hana hatia basi hatuna budi kumpokea kamanda wetu kwa mikono miwili kwani hatujui kiwango chake kama kipo the same au kime shuka...hii itamsaidia kupush his competence and hardwork resource plus performance to the outmost best next level... Tunamtegemea aje kutoa challenge kwa vijana wengine pale mbele more important aje awe a starter not a bench warmer

Welcome back MASON GREENWOOD 9
 
EtH apambane tu na mwanaye. €100m nyingi sana akiomba tena pesa ya RW atalambwa makofi kweli.


Wa kumuokoa ni Greenwood tu. Ila huenda Antony akifika 25 ata-improve.
Ataimprove kwa ligi nyingine ila kwa EPL sioni jamaa akibadilika.


Unacheza ligi ya Eredivisie ambayo huwa mawinga wanatamba na takwimu nzuri ila hata assists 10 alikuwa hafikishi unadhani ligi ya kibabe kama EPL anafikishaje.

Nataka kuona akibadilika aache kupiga curve zake muda wote aanze kutengeneza takwimu hata za kusaidia mabao kupatikana Hojlund yupo
 
Hapo kwenye kupiga miguu yote ndio inafanya watu wakumbuke zile shuti za mguu wa kulia za Greenwood hapo ni weak foot.
Sorry natoka out of point kidogo... Nilikuwa na uliza tu

Hivi ile budget ya 250m tuliyopewa na glazerz Haijaisha na kupitiliza kweli... Kuna tetesi zina sema mwarabu ana chomekea pesa za usajili kimya kimya kumpa nguvu ETH na usajili anaoufanya


Nikikangalia sajili yetu ya mwisho ya huyu dogo hojlund kupitia hio page hapo ya liveherewego inayomilikiwa na fabrizo wamempost dogo yupo ndani ya uzi wa man utd ikiwa na logo ya Qatar Airways

Na ukipitia comment nyingi humo aisee zina kupa hope kuwa kuna kitu kinaendelea na hatupo mbali na nchi ya ahadi Qatary reign (utawala)

Je... Kuna kitu kuhusu uuzwaji wa timu na mahala palipofikia fabrizo analijua na sie hatufahamu hadi sasa
 
Kuna dalili za Greenwood kurudi maana siku chache nyuma Adidas walikanusha kufanya mazungumzo na Greenwood. Leo United x Adidas wametangaza dili jipya la vifaa vya michezo. Lazima kutakuwa na jambo linaendelea.

Kama United watafikia uamuzi wa kumbakisha Greenwood basi ni lazima Adidas wamelipitisha wazo hilo. Ila kama hawamhitaji maana yake ni lazima watafute solution mapema kumuuza au kumtoa kwa mkopo.

Ukimya wa Greenwood huenda anajua anabaki. Kama ingekuwa hakuna matumaini ya kubaki United nina uhakika angetuma transfer request. United wakifikia maamuzi ya contract termination ni hasara nyingine na kesi yenyewe haipo tena utakuwa bado ni uamuzi wenye maswali mengi pia.

Kuhusu mashabiki Greenwood itabidi azoee tu. Utafika muda zitabaki stori tu kama kwa Ronaldo, Hakimi. Ila inabidi ajitoe kwenye Social Media au atafute management ya kuziendesha.
 
Wewe subiria moshi uanze kufuka kwa jirani ukija kushtuka kwako kumeungua.


Arsenal downfall yenu naisubiri sana, last season mlikuwa humbled kwa lazima.
Ila mnanishangazaga Sana mbona toka pre season tuliwaambia na tuliweka ushahidi wa kimazingira ,kwanini tunaenda kugombea ubingwa

Maandiko yapo , audio kule space zipo

Msimu huu tumesajili zaidi ,haihitaji ramli kujua tunaenda kupigania ubingwa no matter what

Maombi yetu sisi wahafidhina wa football ,mancity aondokewe na Gundo Bernado mahrez , amebaki Bernado

Wanaochungulia mpira kwa jicho la 3 wanajua kabisa kuondoka kwa Gundo, mahrez na Bernado ni pengo kubwa Sana kwa city ,

Manjesta kitakachowaua ni depth ya kikosi ,

Niambie Casemiro aki drop au suspension zake zile au injury mna replace na Nan? Amrabat?

Kule mbele bado historia inaonesha Rashford Hana consistency yakueleweka na ndiye mbeba maono wa manjesta

Japo kiuhalisia kabisa

Arsenal, mancity , manjesta ndio favourite kwa kugombea ubingwa

Newcastle msimuhesabie kwanza ana michuano mingi pili Hana depth yakutosha ,halafu kule UCL wamemuweka pot 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…