Rashford kapandisbwa toka academy,nani kamsajili?Siku tuliyo m-register huyu dogo ndio siku laana ilipo anzia kwenye timu yetu
-Hatujawahi kuvuka robo fainali ya CL
-Hatujawahi maliza juu ya city
-Kwa mara ya kwanza looserpool wamebeba ubingwa katika miaka 30
-Hatujawahi shinda Anfield
Even Yaya Sanogo has better carrier stats kuliko Rashbeck
The only way utd kurudi kwenye kufunga magoli na kubeba makombe ni kumuondoa huyu DEFENSIVE STRIKER wetu
Siyo rahisi hivyo. πHawa manyumbu tunapaswa kupractice long range lob shots maana tunajua watakuwa wanacheza na outfield players 11 na bila kipa. Tunamjua Onana ni outfielder aliyekosa namba tu na kusabibisha akae golini hivyo kama kawaida yake atakuwa anatoka golini na kuingia ndani kucheza favorite position yake ya midfield. Sisi kazi yetu ni kumtegea na kuchungulia tu afu tunapiga long range lob shots zetu.
Kocha anapaswa kufanya maamuzi magumu saa hizi wale vijana asiwatoe kwa mkopo ili hao wajinga Rashid na Antony wasirelax sana,Garnacho akiwa na potential kama ya sasa na consistency akifikisha miaka hata 21 anaanza mbele ya huyo boya Rashford.Rashford nae muangalien ,mm namuitaga uyoga,leo chakula kesho sumu
Na huyu ndiye kaibeba timu yenu Sana last season,
Rashford hakawii kurudi kwenye default settings, hapo changanya na ujinga wa Anthony,
Hata Hojlund akitua kocha anatakiwa kuchukua goalscorer mwingine pia wa kusaidia kama Mehdi Taremi maana ugonjwa wa Rashford tunaujua,alikuwa moto ila game 15 za mwisho akapoteana kurudi yule tuliyemzoea.Hii timu ni kichomi, tunakaribia kuanza msimu hakuna striker hata mmoja unaweza kumtegemea.
Hii timu ni kichomi, tunakaribia kuanza msimu hakuna striker hata mmoja unaweza kumtegemea.
Hapa tusubiri tu msimu uanze ila tatizo letu kubwa ni kwenye midfield. Hatuwezi kabisa ku-control game. Midfield ni eneo muhimu sana, tunazidiwa kila mechi.Hata Hojlund akitua kocha anatakiwa kuchukua goalscorer mwingine pia wa kusaidia kama Mehdi Taremi maana ugonjwa wa Rashford tunaujua,alikuwa moto ila game 15 za mwisho akapoteana kurudi yule tuliyemzoea.
So ukimpandisha mchezaji humsajili? Ataendelea kucheza kama mnavyo cheza ndondo cup?Rashford kapandisbwa toka academy,nani kamsajili?
Hata mimi sinaga imani nae but acha kutulisha matangopori
Wachezaji ndiyo wamebeba matumaini ya timu. Wasipopambana kwa dk 90 kila mechi hata kocha afanyaje timu haitasogea.Kichomi kimekushika wewe
lkn msimu huu Man Uwengi hamtoamini
Kwa critics nazo zisoma kwenye fans pages mbali mbali juu ya uchoyo wa wing zetu antony na Rashford basi hojlund atakuwa na wakat mgumu sana hapo mbele kama main ST na hili swala coach asipolitaflia fumbuz itakuwa kichomi kwakeHii timu ni kichomi, tunakaribia kuanza msimu hakuna striker hata mmoja unaweza kumtegemea.
Haya tufanye kasajiliwa elezea hiyo kauli "laana"So ukimpandisha mchezaji humsajili? Ataendelea kucheza kama mnavyo cheza ndondo cup?
Hadi sasa tushaspend sana nadhani zimebaki sajili za Amrabat pamoja na beki wa kati ili kufunga mahesabu ya dirisha hili zaidi ya hapo ni extra tuKwa critics nazo zisoma kwenye fans pages mbali mbali juu ya uchoyo wa wing zetu antony na Rashford basi hojlund atakuwa na wakat mgumu sana hapo mbele kama main ST na hili swala coach asipolitaflia fumbuz itakuwa kichomi kwake
Tusishangae humu rivalry fans kama wa arsena liverpool wakaja kusema hojlind ni garasa na tumepigwa wakati makosa hayasabishwi na yeye ST hapa na mzungumzia hamiss77
Mi naona board ya man utd wafanye mpango mkakati wa kumrudisha Greenwood ..najua tu ataleta chachu katika maendeleo ya wengine hususan hapo mbele... Mtu hatokuwa teal akae bench ata up his game performance
Pia man utd beki ni tatizo na hili litapelekea fans waanze kumuona onana ni useless wakati ni one of the goalie ambae ana cheza modern football keeper mchezaji..tukipata cb mmoja tu au wawili itasaidia sana
Kati hapo eriksen umri umeenda aisee tuna hitaji CM kama wawili ambrat na ikiwezekana kati ya option 2 za sokoni lavia na caisedo tunge interrupt moja ...mfano tungewafata brighton na ile package ya mount ya 60m plus a player kama mctominay wasingekataa why sababu brighton sio kuuza tu pia na wao wanataka kuwa na quality team ya ku compete UEL kule soo kumuuza caisedo 100m na hawana perfect replacement...???
Shida yako huwa unakurupuka kujibu as if kila post humu inakuhitaji uijibie, soma uelewe ukiona huelewi ujue haikuhusu kaa kimya.Haya tufanye kasajiliwa elezea hiyo kauli "laana"
Wakati huo alikuwa na miaka kama ya Garnacho sasa elezea kwa kina hayo masuala ya kijana kupandishwa hadi kuaminiwa na hiyo laana inaingilia vp.
Wabongo neno laana sijui mnafikiri maandazi