Maishanimagumu
JF-Expert Member
- May 9, 2020
- 258
- 578
Bei ya Havertz na Højlund ni almost the same. Havertz ambaye katika misimu yote aliyocheza Chelsea hajawahi kuvuka goli 10 per season (kwenye ligi) pamoja na kuchezeshwa kama forward. Last season kaanza kwenye mechi 30 kaishia goli 7. Højlund ambaye kaanza mechi 20 ana goli 9.€85m kwa CF mwenye 9 goals ,hajafikisha hata mechi 90
Nahitaji mwanasheria karibu kuzungumzia hili
Man U wanataka 30+ add-ons.Wangewaongeza na makofi Westham Maguire hata kama ni mbovu hawezi kuuzwa chini ya 50m.
Case na Amrabat pivot yao itakuwa hatari sana halafu mbele yao akisimama Bruno anakuwa free kufanya mambo yake. 🔥Nalisubiri sana dili la Amrabat,bonge la kiungo,especially kama atachezeshwa na Mount,namfananisha na De jong,japo De jong ni mtu na nusu,ila sio mbaya...
Atleast Casemiro atapumua,na sometime wanaweza wakaanza wote,Case 6,amrabat 8
Huyu ndio HAMIS abas Mponzi ninaemfahamu mjuaji since school
Yani Mzungu atoe hela zake mfukoni bila kelele wewe mmatumbi wa kibaha kwa matiasi upige kelele ni hela nyingi imetumika.Huu ujasiri huwa mnaotoa wapi?
Wabongo wakuda kweliYani Mzungu atoe hela zake mfukoni bila kelele wewe mmatumbi wa kibaha kwa matiasi upige kelele ni hela nyingi imetumika.Huu ujasiri huwa mnaotoa wapi?
Amrabat siyo advanced 8 ni DM kuwachezesha pamoja na Casemiro ni kuforce tu.Nalisubiri sana dili la Amrabat,bonge la kiungo,especially kama atachezeshwa na Mount,namfananisha na De jong,japo De jong ni mtu na nusu,ila sio mbaya...
Atleast Casemiro atapumua,na sometime wanaweza wakaanza wote,Case 6,amrabat 8
Punguza mdomo€85m kwa CF mwenye 9 goals ,hajafikisha hata mechi 90
Nahitaji mwanasheria karibu kuzungumzia hili
Alafu yule antony makeke mengi, weka mtaalaam garnacho, yuko technical angalauKwa hii winga selfish Rashford na Antony Ten hag asipoangalia huyu Hojlund atahangaika kuzifumania nyavu.
Antony mimi simkubali jamaa muda wote anawaza kupiga ndizi tu Garnacho akikomaa atakua mtu na nusu.Alafu yule antony makeke mengi, weka mtaalaam garnacho, yuko technical angalau
Wakuda hao wanawaogopa leftists na feministsAntony mimi simkubali jamaa muda wote anawaza kupiga ndizi tu Garnacho akikomaa atakua mtu na nusu.
Halafu kwa nini wanajivuta vuta issue ya Greenwood dogo kaonekana hana hatia ila wanajivunga bado wakati kile chuma tunakihitaji.
Ila tukumbuke hata Sancho ana-struggle kwasababu hatuna RB wa maana hata mmoja kule Dortmund alikuwa anacheza na Hakimi.Antony mimi simkubali jamaa muda wote anawaza kupiga ndizi tu Garnacho akikomaa atakua mtu na nusu.
Halafu kwa nini wanajivuta vuta issue ya Greenwood dogo kaonekana hana hatia ila wanajivunga bado wakati kile chuma tunakihitaji.
Antony pia anapaswa kubadilika eneo la mwisho mtu anawaza mabao ya akina moja kwa sababu ya guu lake la shoto muda wote hawezi kutumia weak foot hata kidogo hapa ndio inafanya watu wamkumbuke Greenwood ambaye angle yoyote final third anakuua na mguu wowoteIla tukumbuke hata Sancho ana-struggle kwasababu hatuna RB wa maana hata mmoja kule Dortmund alikuwa anacheza na Hakimi.
Antony msimu uliopita alikuwa mchezaji muhimu sana kwetu, tatizo lake kubwa ni kwenye end product.
Mimi nasuburi kuona jinsi Antony atakavyo-develop Mount akicheza RCM.
🤣🤣🤣😂😂Hawa manyumbu tunapaswa kupractice long range lob shots maana tunajua watakuwa wanacheza na outfield players 11 na bila kipa. Tunamjua Onana ni outfielder aliyekosa namba tu na kusabibisha akae golini hivyo kama kawaida yake atakuwa anatoka golini na kuingia ndani kucheza favorite position yake ya midfield. Sisi kazi yetu ni kumtegea na kuchungulia tu afu tunapiga long range lob shots zetu.
Naona unaota kwa kufikiria Premier league Ni sawa na PES. "' Hivi mashabiki wa arsenal utoto mtaacha lini!Hawa manyumbu tunapaswa kupractice long range lob shots maana tunajua watakuwa wanacheza na outfield players 11 na bila kipa. Tunamjua Onana ni outfielder aliyekosa namba tu na kusabibisha akae golini hivyo kama kawaida yake atakuwa anatoka golini na kuingia ndani kucheza favorite position yake ya midfield. Sisi kazi yetu ni kumtegea na kuchungulia tu afu tunapiga long range lob shots zetu.
Anakumbuka alichofanywa Ramsdale na Goncalves ndio maana anatamani iwe hiviNaona unaota kwa kufikiria Premier league Ni sawa na PES. "' Hivi mashabiki wa arsenal utoto mtaacha lini!