Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wewe dogo umekuja kasi sana. Hebu punguza kuwatukana watu. Hujui kama kuna watu humu umri wa baba au babu yako halafu wewe unawaita hawana akili randomly.
 
Wewe dogo umekuja kasi sana. Hebu punguza kuwatukana watu. Hujui kama kuna watu humu umri wa baba au babu yako halafu wewe unawaita hawana akili randomly.
Kuna dogo mmoja wa Arsenal huwa anatukana watu ajabu siku hiyo nikaona anasema mwaka 2018 ndio alimaliza form four nikashangaa anapata wapi ujasiri wa kutukana humu kina baba zake.

Any way kuhusu huyu Al-Hadidy yuko sawa alianza kuchokozwa yeye hata kama wewe ni mtu mzima ukianza kuchokoza uwe tayari kupokea majibu.
 
Manchester United can confirm that Kobbie Mainoo suffered an ankle injury during the match against Real Madrid on Tour 2023. The midfielder is expected to be ruled out for the first part of the 2023/24 season.
Dah hii ni habari mbaya kwa dogo hata msimu uliopita alipata injury ya kumweka nje kwa nusu msimu.

Sijaangalia mechi hiyo injury kubwa namna hiyo ilikuwaje ?
 
Hata kwa back 4 yenye kipa sweeper mtamuona yupo vzr tu, Geoff Lea mpaka kesho anaamini Maguire ni beki mzuri ila ameangushwa na mifumo ya timu

Westham walitaka watumie advantage hii wakati mnamuona hafai wampate kwa Bei ndogo ,
So saa hizi ikitokea kabaki anaweza kupambania namba na Varane!

Naona akibakia maana West Ham hawawezi kutoa €50m United inayoitaka
 
So saa hizi ikitokea kabaki anaweza kupambania namba na Varane!

Naona akibakia maana West Ham hawawezi kutoa €50m United inayoitaka
Inatafutwa hela ya kumchukua Hojlund. Na ukizingatiwa Maguire alinunuliwa kwa hela nyingi awezi kuuzwa kwa hela ndogo. Kuna habari nilisoma Man u inataka angalau 40

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchambuzi mzuri sana huu. Maguire ni mbaya akicheza karibu sana na goli ila akichezea mbali hana madhara yeyote.
 
Kuna Mchezaji Kasajiliwa Kwa £60m Na Hajui Goli Lipo Upande Gani Mpaka Leo Ila Tu Ana Mikimbio Mizuri

Sijamtaja Mtu Mimi
 
10hag akimsajili amrabati na Hojlund atakuwa ametumia karibu €500m ndani ya muda mfupi, Hawa ndio wachezaji aliosajili

Unajifunza nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…