Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,432
thats why i want him to be sacked kabla hajatupotezea wachezaji ambae kocha mwingine anaweza kuwatuimia nimesikia tetesi lakini anataka kumrudisha kagawa abadilishane na gundogan...kwa sasa timu ambayo haina kiungo naaminini angeweza kumlazimisha kagawa acheze namba hiyo kuliko kuwatumia waingereza wenzake(i knw he is scottish) najua kagawa ni namba 10 lakini uwepo wa rooney na mata unamfanya asiwepo kabisa katika mipango ya kocha so bora acheze nane i blv hata kama sio orignal position yake ila impact yake uwanjani haiwezi kuwa sawa na cleverleyMkuu Mndengereko Moyes seems to have a distrust of his more creative players,you wonder a players like Shinji Kagawa,Januzaj and Fellaine were all warming the bench ??????.
thats why i want him to be sacked kabla hajatupotezea wachezaji ambae kocha mwingine anaweza kuwatuimia nimesikia tetesi lakini anataka kumrudisha kagawa abadilishane na gundogan...kwa sasa timu ambayo haina kiungo naaminini angeweza kumlazimisha kagawa acheze namba hiyo kuliko kuwatumia waingereza wenzake(i knw he is scottish) najua kagawa ni namba 10 lakini uwepo wa rooney na mata unamfanya asiwepo kabisa katika mipango ya kocha so bora acheze nane i blv hata kama sio orignal position yake ila impact yake uwanjani haiwezi kuwa sawa na cleverley
mi nishafanya hivyo ili sidhani kama bodi ya manchester ina muda wa kufuatilia hizo forums zinazungumza nini what they know choosen one kachaguliwa na SAF na SAF kasema itakuwa ni upuuzi man u wakimfukuza Moyes,so hawataki kumuangusha babu yao ambao walimkuta pale labda tushike nafasi ya kumi.maana hii ya saba inaonekana tumeizoea so haiwaathiri....ha ha haa!Moyes majanga sana.Nawashauri ndugu zangu wa jukwaa hili wahamie kwa muda kwenye forums za uingereza wakawaongezee nguvu wenzao hadi hili zee litimuliwe.
lets hope rumours za kuwa replaced na van gaal after world cup ni za kweli,otherwise kombe lolote lile next season tutasikia likipita tu kwa majirani zetu kutokana na kocha wetu kutokuwa na consisntency,mpk jana moyes ameweka historia kwa mechi 40 hakuna hata mechi mbili ambazo zimefuatana akapanga kikosi sawa na alichopanga mechi iliyopita.Ndiyo mkuu, huwa namwambia mkuu Nzi huwa haelewi kabisa. Nzi kakimbia jukwaa, Moyes aondoke anatuletea pressure tu.
Joel Campbell mwakani atakuja tena kuwapiga pale EPL!inakuaje Wenger anamtoa yule mkopo na kubaki na kina Sanogo?
Kwangu hii ndio mechi ambayo timu ilikuwa mbovu kuliko siku zote,Olympiakos ni timu kibonde ukilinganisha na nyingine zote zilizoingia kwenye hii stage but kwa kiwango cha jana Moyes ana kazi nzito sana,timu nzima ilikuwa imechoka kuanzia mpira unaanza.Rio,Vidic,Carick,Cleverley,Rooney,Smalling,Valencia,Young walikuwa kama wamelazimishwa kucheza.Inaonekana wachezaji hawamkubali kabisa Moyes hata ukiangalia body language wanaonekana kama kila mtu anacheza kivyake.Sioni hata half time au kwenye mechi akitoa maagizo kama kuna mchezaji wanamsikiliza na kumfatishakutokana na kucheza chini ya kiwango katika mechi ya leo, man u tuna nini cha kujifunza ili tusikirudie katika mechi zijazo
cc: Belo
Kwangu hii ndio mechi ambayo timu ilikuwa mbovu kuliko siku zote,Olympiakos ni timu kibonde ukilinganisha na nyingine zote zilizoingia kwenye hii stage but kwa kiwango cha jana Moyes ana kazi nzito sana,timu nzima ilikuwa imechoka kuanzia mpira unaanza.Rio,Vidic,Carick,Cleverley,Rooney,Smalling,Valencia,Young walikuwa kama wamelazimishwa kucheza.Inaonekana wachezaji hawamkubali kabisa Moyes hata ukiangalia body language wanaonekana kama kila mtu anacheza kivyake.Sioni hata half time au kwenye mechi akitoa maagizo kama kuna mchezaji wanamsikiliza na kumfatisha
Kuna haja ya kuwarudisha wasaidizi wa SAF (Carlos Quirez au Rene) waje kumsaidia Moyes otherwise sioni dalili kama Moyes anaweza kuibadilisha hii timu.Management ilikosea sana kumpa contract ya miaka 6 nafikiri wangempa miaka 2 then akiibadilisha timu ndio wamuongezee
mi nishafanya hivyo ili sidhani kama bodi ya manchester ina muda wa kufuatilia hizo forums zinazungumza nini what they know choosen one kachaguliwa na SAF na SAF kasema itakuwa ni upuuzi man u wakimfukuza Moyes,so hawataki kumuangusha babu yao ambao walimkuta pale labda tushike nafasi ya kumi.maana hii ya saba inaonekana tumeizoea so haiwaathiri....