Aisee,huyo ateta msimu wa kwanza alifanya nnmake kwanza nicheke ,kwa mpira gani huo ?
Nyie kumaliza juu yetu sahahuni
Mna kocha anafundisha mpira wa ovyo Sana
Wayne Rooney Leo amesema yupo inspired na Arteta kuliko 10 hag
Rooney on Arteta:
"That is where you want to get to as a young coach. I am going through the steps to try and do that."
(@sistoney67 )
Huwa nasema daily humu 7+3hag ni kocha wa kawaida Sana ,, na Sion akitoboa ,, na msimu huu kwa mpira ule kitawakuta Cha Chelsea Cha mwaka Jana ,nafasi ya 10-12
EtH msimu wa kwanza tu ana kombe na timu ipo UCL.make kwanza nicheke ,kwa mpira gani huo ?
Nyie kumaliza juu yetu sahahuni
Mna kocha anafundisha mpira wa ovyo Sana
Wayne Rooney Leo amesema yupo inspired na Arteta kuliko 10 hag
Rooney on Arteta:
"That is where you want to get to as a young coach. I am going through the steps to try and do that."
(@sistoney67 )
Huwa nasema daily humu 7+3hag ni kocha wa kawaida Sana ,, na Sion akitoboa ,, na msimu huu kwa mpira ule kitawakuta Cha Chelsea Cha mwaka Jana ,nafasi ya 10-12
Arsenal tulishatoka huko ,yaan Carabao mnapiga keleleEtH msimu wa kwanza tu ana kombe na timu ipo UCL.
Arsenyani mmeotea msimu mkajiaminisha mnachukua EPL vipigo vilipoanza wote mkajificha.
EtH ana msimu mmoja tu na atampita Arteta maana hajui anachofanya.
7hag ni kocha wakawaida huwez kumlinganisha hata na Unai Emery, Di zerbi kimbinuEtH msimu wa kwanza tu ana kombe na timu ipo UCL.
Arsenyani mmeotea msimu mkajiaminisha mnachukua EPL vipigo vilipoanza wote mkajificha.
EtH ana msimu mmoja tu na atampita Arteta maana hajui anachofanya.
Mkuu piga spana hizi nyumbuArsenal tulishatoka huko ,yaan Carabao mnapiga kelele
Arteta alibeba FA na CS kwa bajeti ya £0m akimtandika Pep na klopp ndani ya miez 6 tu,
7hag bado Sana ni kocha wakawaida , ndio maana hata mpira wake ,sajili zake za kubahatisha Sana
Huwez kupewa €250m uitapanye ,
Arteta ni kocha wa kawaida sana. Huo ujinga wenu wa kuridhika na vitu vidogo ndo umefanya mmekaa miaka 7 bila kuingia UEFA.Mkuu piga spana hizi nyumbu
Arteta hiki anachokifanya sio kwa bahati mbaya
Tena uchawi ukioneshwa zile papers za project tu, basi hauchomoi
Mlimualika timber kwenye game yenu, Arteta akapiga simu akamuonesha mchoro mzima.
Timber hakufikiria Mara mbili, akamuambia tuonane July
Hivi ninavyoandika timber yupo na Arteta marekani dogo ameenda kupikwa
Kumbuka upande anaotembea timba ndio upande wa bukayo SAKA
Nyie mbuzi maji mtaita mma safari hii
Unapewa £250 unatapanya kwa Antony masebene and the likes. Una akili wewe?
Tulikua kwenye revolution of squadArteta ni kocha wa kawaida sana. Huo ujinga wenu wa kuridhika na vitu vidogo ndo umefanya mmekaa miaka 7 bila kuingia UEFA.
City mwaka jana kawapiga game zote 3, bado unahisi mna kocha bora. Hamna kocha yoyote kwenye top 6 kampa pep point nyingi zaidi ya arteta.
Rashbeck anapokea pesa ndefu kuliko Rodrygo & Vinicius combined, alafu baadae tutaanza kulia lia hapa kwamba tunashindwa kumuuza
Mbona manjesta imekaa miaka 6 bila taji lolote na ilikuwa na matumizi makubwa ya pesa mnasajili magarasa kina Sancho magwaya nm, AnthonyArteta ni kocha wa kawaida sana. Huo ujinga wenu wa kuridhika na vitu vidogo ndo umefanya mmekaa miaka 7 bila kuingia UEFA.
City mwaka jana kawapiga game zote 3, bado unahisi mna kocha bora. Hamna kocha yoyote kwenye top 6 kampa pep point nyingi zaidi ya arteta.
Huyu kocha hata kuendeleza vipaji hawezi ,ila wanadanganywa ngoja apate sajili zakeMkuu piga spana hizi nyumbu
Arteta hiki anachokifanya sio kwa bahati mbaya
Tena uchawi ukioneshwa zile papers za project tu, basi hauchomoi
Mlimualika timber kwenye game yenu, Arteta akapiga simu akamuonesha mchoro mzima.
Timber hakufikiria Mara mbili, akamuambia tuonane July
Hivi ninavyoandika timber yupo na Arteta marekani dogo ameenda kupikwa
Kumbuka upande anaotembea timba ndio upande wa bukayo SAKA
Nyie mbuzi maji mtaita mma safari hii
Unapewa £250 unatapanya kwa Antony masebene and the likes. Una akili wewe?
😂😂😂 Halafu Community Shield haitambuliki kama major trophy, hiyo ni Super Cup.Arsenal tulishatoka huko ,yaan Carabao mnapiga kelele
Arteta alibeba FA na CS kwa bajeti ya £0m akimtandika Pep na klopp ndani ya miez 6 tu,
7hag bado Sana ni kocha wakawaida , ndio maana hata mpira wake ,sajili zake za kubahatisha Sana
Huwez kupewa €250m uitapanye ,
Sishangai ukiwa shabiki wa Arsenal.7hag ni kocha wakawaida huwez kumlinganisha hata na Unai Emery, Di zerbi kimbinu
Msimu huu utanielewa ,wanaoujua mpira kimbinu ,kuanzia sajili wanajua 7hag ni average coach tu ,
Ndio maana Hana project yakueleweka
Anastahili! Wachezaji ndiyo msingi wa biashara ya football. Timu inatengeneza pesa kupitia wao ni haki yao.Huu upuuzi wa kulipa watu mishahara mikubwa sijui nani alitudanganya, Rashford yule ilitakiwa alipwe 200k tu, mana unajua hakuna team ya kumpa hizo 325, ni pesa ndefu mno, wachezaji wa kulipwa $300 pale UTD hawapo an
Hao wana miaka 20 bila EPL na UEFA wamezidiwa hadi na Nottingham sijui wanapata kiburi wapi ama ndio kumaliza top 4 kwao ni big achievement.Sishangai ukiwa shabiki wa Arsenal.
Mim sishangai kuona mnadanganyana kuhusu 7hag ,maana atakachowafanya najua mtawageukia Grazzer ,wakati wamempa pesa mingi anasajili ujingaSishangai ukiwa shabiki wa Arsenal.
Pesa ipo wapi mnasajili kwa kulialia ,Kim jae mmemkosa , kaenda Bayern ,mnazidiwa na bayern kwenye usajili halafu mnasema mna helaHalafu Community Shield haitambuliki kama major trophy, hiyo ni Super Cup.
Kuhusu Arteta kuwafunga Pep na Klopp ktk hiyo miezi 6 si kwasababu fixtures zilikuwa ndani ya hiyo miezi 6.
Ila kuwafunga Pep na Klopp hata EtH kafanya hivyo ktk msimu wake wa kwanza na akampiga kocha wako Arteta mwanzo wa msimu tu, on top of that kafuzu na UCL.
Arteta hawezi kufika levels za EtH. Nyie hamuwezi hata kufikia mpira wa Ajax uliowatoa Madrid UCL.
Arteta kubeba FA kwa £0m budget hayo ni matatizo yenu, sisi pesa ipo.
Duh hizi dharau zimezidi sasa. Nasemaje ligi ianze tu tuwaone kama kweli mtaweza mziki wa kukimbizana na wakubwa zenu (City,United, Liverpool).Tulikua kwenye revolution of squad
Mkuu kikosi chetu misimu miwili nyuma Bora ya hiki chenu
Huyo magwaya ni mzuri sana, sisi tulikua na Mustafa, muda wowote anachoma kibanda na Wala hajari
Unazungumzia arsenal ambayo inakikosi ghari dunia nzima
Sasa kuanza hapa maji mtaita mma
This time around Kama tusipogawana points na city Basi tunaondoka na points zote 6
Kwa city tunasubiri bernado asepe, gundogan yeye tayari amesepa
Nyumbu points 6
Kenge points 6
Liverpunda points 6
Newcastle points 6
Brighton points 6
Spurs points 6
Ndio maana Kule the Gunner watu tumeshaanza kufanya party ya ubingwa
Manjesta hii ya kina dalot na winga Anthony masebeneDuh hizi dharau zimezidi sasa. Nasemaje ligi ianze tu tuwaone kama kweli mtaweza mziki wa kukimbizana na wakubwa zenu (City,United, Liverpool).
Mm sikosi kuwaangalia wapinzani, ili nikija kuwaambia ukweli nakuwa na confidenceNi wale wale wazee wa ngwasuma tunashuka kwa mara nyingine tena kugawa burudani majirani wote wakina hamis77 mnakaribishwa.
Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha
Prediction
Manchester United 4 vs Lyon 1
View attachment 2693136