Magwaya akiuzwa kwa hiyo pesa naamia unyumbuni wallahi vile, maana huyo marketing officer atakaye simamia Hilo deal atakua sio binadamu wa kawaidaWachezaji wetu bila kuwauza kwa bei ya hasara hakuna anayewanunua.
Maguire nasikia tayari huko hakuna maelewano mazuri na Bwana Eric so lazima atauzwa hata kwa hasara €30m itapokelewa
Yeah, True thatMsimu huu United ni kutoa burudani na vichapo tu.
6 points za Arsenyani ni uhakika.
Ila huyu dogo ana chances za kuimprove huko atakako kwendathe latest odds on where Elanga could go this summer:
Everton - 6/4
Nottingham Forest - 11/4
Wolves - 10/1
Crystal Palace - 12/1
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐
man utd |View attachment 2691327