Kuna watu wanasema Anthony masebene na Sancho wanasaidia timu SanaNimemfuatilia huyu dogo Naom Emiran baada ya kuona kafunga goli imebidi nikaangalie highlight na skills zake, kwa kwa kweli huyu dogo mfaransa yupo vizuri anaweza kuwapiga benchi Sancho na Antony kama wasipojirekebisha. Anautulivu mkubwa sana anapokuwa na mpira ana kasi anajua kumwaga maji na pass za uhakika vitu ambazo Sancho na Antony wamekuwa wakipungukiwa
Sijui nifukue makaburi yangu kuhusu super mount
Kama chelsea walibeba kombe na Demba Ba iweje Jesus ashindwe?Arsenal siyo kwamba mna kikosi kibaya, tatizo hamtaki kukubali ukweli.
Tukipitia kila mchezaji defence yenu yote na kipa siyo wachezaji wanaopaswa kuanza kwenye timu yoyote ile inayopambana kubeba EPL au UCL.
Midfield ni Rice na Γdegaard tu unaweza kuwategemea na siyo Havertz.
Front line pale ni Saka tu, huwezi kutegemea striker kama Jesus ubebe EPL au UCL.
Labda kama nyie wenzetu mna vipaumbele tofauti na kushinda makombe.
Ndiyo maana mimi huwa sipo excited na msimu wowote wa United kwasasa kwasababu nishakubali United haiwezi kushinda EPL wala UCL msimu ujao na ikitokea yatakuwa ni maajabu ktk soka.
Mashabiki wa Arsenal tatizo lenu ni kujipa matumaini makubwa sana. Mna kikosi cha kawaida sana. Msimu ujao mkijitahidi sana ni top 4 place, UCL kule kwa hicho kikosi mnaweza kufika last 16. Makombe ambayo mnaweza kushinda kwa hiyo squad ni FA Cup na Carabao.
Kwa takwimu za msimu ujao nikipanga combined XI ya wachezaji wa United x Arsenal itakuwa hivi.
View attachment 2684958
Ndio furaha za Yatima zilipo poor washika ukuta wa LondonSafi Sana Atalanta ,hakuna biashara za Mali kauli hapa
#mufc have offered players in part-exchange for Rasmus Hojlund during talks with Atalanta β but the Italian club are insisting on a cash payment. Atalanta have placed a Β£85.5m price on the 20-year-oldβs head.
[@lauriewhitwell]
Acha hasiraNdio furaha za Yatima zilipo poor washika ukuta wa London
Kujinyonga ni tabia ya Yatima FC ndio maana vichapo vyao vizito viliondoka na watuAcha hasira
Timu akipewa Dr.Shika wa UK ,Sir Jim siutajinyonga