Juzi niliandika hapa kuwa tunaenda pre season hatuna GK, hatuna striker, hatuna RB wala LB, katikati tuna Casemiro pekee, kuna Mwendawazimu mmoja alikuja juu sana kwamba tayari tumesha msajili Onana, kiko wapi?????? Leo tuna LeedsHivi usajili umesimama au maana kimyaa wiki inakata, Timu yangu hii jamaa anaenda pre season na sajili Moja tu.
7 hag akifanya hivi nipigwe banAsenyo Kondoo
Lile jukwaa lenu ni kama kijiwe cha kawaha tu, uongo uongo mwingi mixer kujitoa akili.
Jukwaa lenu mimi hua nalichukulia kama jukwaa la comedy(jokes) hua nakuja kule kupunguza stress tu.
Shida ya ushabiki huwezi kukubali kitu ila kimoyo moyo unajua mpira unaotandazwa na Arsenal NDOOAsenyo Kondoo
Lile jukwaa lenu ni kama kijiwe cha kawaha tu, uongo uongo mwingi mixer kujitoa akili.
Jukwaa lenu mimi hua nalichukulia kama jukwaa la comedy(jokes) hua nakuja kule kupunguza stress tu.
Jamaa walikubishia Sana ,hata huyo onana watakuja kumkataaJuzi niliandika hapa kuwa tunaenda pre season hatuna GK, hatuna striker, hatuna RB wala LB, katikati tuna Casemiro pekee, kuna Mwendawazimu mmoja alikuja juu sana kwamba tayari tumesha msajili Onana, kiko wapi?????? Leo tuna Leeds
Hilo jukwaa lenu wandawazimu wapo wengi mkuuJuzi niliandika hapa kuwa tunaenda pre season hatuna GK, hatuna striker, hatuna RB wala LB, katikati tuna Casemiro pekee, kuna Mwendawazimu mmoja alikuja juu sana kwamba tayari tumesha msajili Onana, kiko wapi?????? Leo tuna Leeds
Hawa usiwasanue , leo wanamuona DEGEA sawa na Erik johora ,wanasahau Kuna a lot of matches wanadakwa ,DEGEA anawaweka mchezoniShida ya ushabiki huwezi kukubali kitu ila kimoyo moyo unajua mpira unaotandazwa na Arsenal NDOO
Kwani mmesahau msako tuliokufanyia dakika ya 90 nketiah anaingia kambani
Kuanzia dakika ya 65 nyumbu mlipaki bus
De gea alikua man of the match japo mlikufa
Tumefurahia Sana ujio wa Onana
Hilo jukwaa lenu wandawazimu wapo wengi mkuu
Wanefikia stage wanakuambia ligi ianze tu, Sasa unajiuliza hawa nyumbu kwa lipi hasa!!
Shida ya ushabiki huwezi kukubali kitu ila kimoyo moyo unajua mpira unaotandazwa na Arsenal NDOO
Kwani mmesahau msako tuliokufanyia dakika ya 90 nketiah anaingia kambani
Kuanzia dakika ya 65 nyumbu mlipaki bus
De gea alikua man of the match japo mlikufa
Tumefurahia Sana ujio wa Onana
Wewe piga kelele ,vipigo vinaanza leoArsenyau suala la kutandaza mpira sio la jana wala juzi tumelizoea kitambo sana tokea kipindi cha mzee Wenger.
Kipindi kile nakumbuka mashabiki wa Arsenyau tukiwatania baada ya kuwafunga walikua wanajitetea kua "kutufunga mmetufunga lakini chenga twawala"
Tunataka tuone impact ya kutandaza kandanda na kunyanyua makombe.
Sasa nyie mnatandaza kandanda siku 258 halafu zinabaki siku 20 mnatanua mapaja mliMancity wanabeba kombe si uzwazwa huo?
Arsenyani nawakumbusha tena msimu ulioisha ilikua ni one season wonder, hii ilishawatokea hata Leicester City ila wao wakafanya kweli.
Msimu huu mtacheza kweli mpira mzuri ila suala la kujiokotea points3 kama msimu ulioisha msahau.
Wazee wa ngwasuma tunaanza kampeni yetu Leo ya kugawa burudani Kwaiyo mna karibishwa kwa wingi hates wote.
Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha
Prediction
Manchester United 4 vs Leeds United 0
Time
12:00 jioniView attachment 2685717
Arteta ball anakusambazia mpira na vikombe piaArsenyau suala la kutandaza mpira sio la jana wala juzi tumelizoea kitambo sana tokea kipindi cha mzee Wenger.
Kipindi kile nakumbuka mashabiki wa Arsenyau tukiwatania baada ya kuwafunga walikua wanajitetea kua "kutufunga mmetufunga lakini chenga twawala"
Tunataka tuone impact ya kutandaza kandanda na kunyanyua makombe.
Sasa nyie mnatandaza kandanda siku 258 halafu zinabaki siku 20 mnatanua mapaja mliMancity wanabeba kombe si uzwazwa huo?
Arsenyani nawakumbusha tena msimu ulioisha ilikua ni one season wonder, hii ilishawatokea hata Leicester City ila wao wakafanya kweli.
Msimu huu mtacheza kweli mpira mzuri ila suala la kujiokotea points3 kama msimu ulioisha msahau.
Epl domination for 10 consecutive seasonsArteta ball anakusambazia mpira na vikombe pia
Kabatini ana FA na ngao
Epl domination for 10 consecutive seasons
UEFA is loading
Kelele mtaacha tu
Walambwe tuNyumbu wakipigwa watakua wamesanuka
Sasa wasanuke au ashinde tuwape sifa za kijinga?
Viva nyumbu viva
Mimi ni mchambuzi nguli, mwaka Jana nilitabiri had wanaoshuka darajaEpl domination for 10 consecutive seasons
UEFA is loading
Hivi mnafikiri UEFA ni kama kilimo cha matikiti?
One season wonder anajidanganya atadominate Epl for 10 consecutive seasons
Ila mashabiki wa Arsenyo siwalaumu sana, wakulaumiwa ni hamis77 anaewaaminisha ubingwa kwa huo mchanganuo wa kilimo cha matikiti.