Mtoe xhaka hapoSasa mbona Harvertz wa Leverkusen kamzidi Antony wa Ajax kwenye G/A msimu mmoja tu baada ya hapo kilichotokea kinajulikana.
Tatizo lenu huwa hamna facts kutetea points zenu. Mnapiga kelele tu, msimu ukianza ndiyo kila mtu atajua timu ipi inasindikiza wengine.
Yani niogope huo uchafu?Mtoe xhaka hapo
Mkuu kwani hauogopi hili jeshi?View attachment 2684690
Dah mkuu hii picha ya Sancho kibonge inanichekesha sana 😀
Hamna tim ya kuchukua ubingwa hapa,Mtoe xhaka hapo
Mkuu kwani hauogopi hili jeshi?View attachment 2684690
Coz ndio kitu pekee mnacho kipigania msimu mzimaKama Kuna kitu sinawasiwasi nacho msimu huu Basi ni kubeba points 6 kwa manjestaView attachment 2684557
Et Arsenal ina wachezaji wanne ,Yani niogope huo uchafu?
Arsenal ni wachezaji wanne tu: Saka, Ødegaard, Rice & Timber.
Hao wengine kama Arsenal ndiyo mnaona mmefika levels za kuwa top club basi bado mna safari ndefu sana.
Muda ndiyo hakimu mzuri.
Unafananisha mfumo wa Chelkenge na Arsenal?Sasa mbona Harvertz wa Leverkusen kamzidi Antony wa Ajax kwenye G/A msimu mmoja tu baada ya hapo kilichotokea kinajulikana.
Tatizo lenu huwa hamna facts kutetea points zenu. Mnapiga kelele tu, msimu ukianza ndiyo kila mtu atajua timu ipi inasindikiza wengine.
Mkuu hii nimei-saveYani niogope huo uchafu?
Arsenal ni wachezaji wanne tu: Saka, Ødegaard, Rice & Timber.
Hao wengine kama Arsenal ndiyo mnaona mmefika levels za kuwa top club basi bado mna safari ndefu sana.
Muda ndiyo hakimu mzuri.
Wachezaji wa bench Arsenal kwa manjesta wanaanza vzr kabisaYani niogope huo uchafu?
Arsenal ni wachezaji wanne tu: Saka, Ødegaard, Rice & Timber.
Hao wengine kama Arsenal ndiyo mnaona mmefika levels za kuwa top club basi bado mna safari ndefu sana.
Muda ndiyo hakimu mzuri.
👍Mkuu hii nimei-save
Arsenal siyo kwamba mna kikosi kibaya, tatizo hamtaki kukubali ukweli.Wachezaji wa bench Arsenal kwa manjesta wanaanza vzr kabisa
Arsenal have become only the second club in world football to have a squad value worth over €1 billion.
(Source: @TMuk_news)View attachment 2684832
Wewe jamaa hata wenzako watakuchekaArsenal siyo kwamba mna kikosi kibaya, tatizo hamtaki kukubali ukweli.
Tukipitia kila mchezaji defence yenu yote na kipa siyo wachezaji wanaopaswa kuanza kwenye timu yoyote ile inayopambana kubeba EPL au UCL.
Midfield ni Rice na Ødegaard tu unaweza kuwategemea na siyo Havertz.
Front line pale ni Saka tu, huwezi kutegemea striker kama Jesus ubebe EPL au UCL.
Labda kama nyie wenzetu mna vipaumbele tofauti na kushinda makombe.
Ndiyo maana mimi huwa sipo excited na msimu wowote wa United kwasasa kwasababu nishakubali United haiwezi kushinda EPL wala UCL msimu ujao na ikitokea yatakuwa ni maajabu ktk soka.
Mashabiki wa Arsenal tatizo lenu ni kujipa matumaini makubwa sana. Mna kikosi cha kawaida sana. Msimu ujao mkijitahidi sana ni top 4 place, UCL kule kwa hicho kikosi mnaweza kufika last 16. Makombe ambayo mnaweza kushinda kwa hiyo squad ni FA Cup na Carabao.
Kwa takwimu za msimu ujao nikipanga combined XI ya wachezaji wa United x Arsenal itakuwa hivi.
View attachment 2684958
Kwa timu gani mliyonayo hii ya kina varane na sanchoka?Ligi ianze tuanze kuheshimiana mjini maana mashabiki wa Arse8 wanatupigia kelele hadi sio poa wanajikuta level za Madrid sijui. Ligi ianze tu warudi kwenye mapango yao kujifichaView attachment 2685106