Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii timu hata top 6 haiwezi kuingia dhaifu kuanzia nyuma had mbele
 
Unamzungumzia odegaard goals 15, assist 10+ ,unamfananisha na Nan hapo kwenu ?

Casemiro pale Arsenal hachez kabisa maana hawez kuhusika kwenye buildup

Eriksen huyu ambaye dk 45 huwa anaomba sub?kuwa serious Basi

Unamzungumzia martinell 15 goals

Oya hebu acha utani Basi

Msimu Jana mlisema nyie title contender nilikukatalia bado huna timu iliyo balance ,huko mbele ndio utopolo mkubwa ,unategemea form ya Rashford tu,

Hiyo timu yako iliingia Mara 13 tu kwenye box la Arsenal wakati saka pekee aliingia box la manjesta Mara 50
 

No body cares, kiwango kibovu ni liability kwa team. Maybe kama ataweza kuwa prove watu wrong
 
Kumbe Garnacho alisajiliwa na Ten Hag ?
 
Mnadai kuwa mchezaji akisajiriwa unyumbuni tunasema mmepigwa.
ila akiondoka tunageuka kuwa bonge la mchezaji mmemuachia

Sasa niwaulize, mnazani mount hamjapigwa?
Mount ata timu ya taifa hawezi kuwa starting 11
Mount ni viwango vya mchezaji wa timu ndogo, type ya akina willock
 
Hata timu lenu bovu tu kumaliza nafasi ya 2 msimu uliopita mshajikuta Barcelona kumbe wakati ni wa mchangani tu mngekuwa na kombe la UCL tungewaona wakubwa.

Hiyo ni masikini akipata

😆😆😆 Si ndiyo hivyo man. Sisi ni kama wasanii wakubwa wa bongo hapa waliosota mtaani halafu wakapanda chati. Mtu hata kiwanja hanunui na kujengwa hata kibanda cha udongo, anapanga sinza na kutoka na kila slay queen anayejilengesha.

Tofauti ya Arsenal ni sisi tuna historia ya kuvutia ambayo tuliivuruga hivi karibuni ila Sasa inaanzo kuonekana kama Inarudi. Zile enzi za Kila mchezaji kusema ni 'dream' yake kuichezea arsenal zitarudi upya tukiendelea kuperform hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…