Upo sahihi gaygoonerSasa naelewa kwanini nyumbu huwa wanahasira za karibu na wengi wao hukimbilia kujinyonga
Nyumbu mnatimu Bora na yenye build up inayoeleweka kuliko
Brighton, aston Villa, Fulham, N. Forest,?
Butua twende tukutane mbele mmeingia top four kwa sababu ya uzembe wa Brighton
Nikuwacha tu sawa mkuuAcha umama nani kakwambia tunaenda bila kipa wakati wiki ijayo dili la Onana linakamilika
Au unadhani kipa ni Maguire
Arsenal fans, hawawezi kutoa hoja zao bila kuweka utoto na ujinga ujinga ndani, wao kila kitu nikuponda bila facts ukizingatia hakuna wanachotuzidi katika mafanikio.Inahitaji akili kwenda sawa na mashabiki wa timu pinzani
Katika watu wanafiki na wasio na msimamo ni hawa jamaa zetu wa pembeni.
Miaka hii iliyopita wakati sisi tunampamba De Gea kwa ubora wake wao walikuwa wanasema ni mbovu tunamkuza tu na wakatumia kigezo chake cha kuachwa timu ya taifa nyuma ya Kepa.
Ila sasa hivi wakati mioyo ya baadhi ya wana United imebadilika pamoja na mtazamo wao wanaanza kusema eti tumekosea kumuacha ni World Class mara tumetema Big G kwa karanga za kuonjeshwa.
Hawahawa pia wakati Pogba anarudi 2016 tulikuwa tunampamba wao wakawa wanaponda kila siku kuwa tumetapeliwa,ila baada ya mashabiki wa United kuanza kumkataa wao eti wakawa wanasema ni bonge la mchezaji ila timu ndio mbovu,maybe!
Ilikuwa hivyo pia kipindi Maguire anasajiliwa wakawa wanasema ni beki mbovu sana Leicester wametutapeli na wakati huo ilikuwa tunamsifu hakuwa mbovu alikuwa katulia,ila baada ya sisi kuanza kumkataa wakaanza oh Maguire sio beki mbaya timu yetu ndio mbovu tunamfanya scapegoat tu.
Na tusishangae kipindi tunamkataa Antony wao wakasema ana ubora kama wa Salah ila timu ndio inamuangusha
Anyway hii ni kawaida yao wanafanya juu chini tupishane nao kimtazamo,hawana msimamo hadi unaanza kujiuliza jinsia zao halisi ni zipi
Tuwavumilie tu
Hao kushiriki UCL baada ya miaka 6 tayari wanajjkuta level ya Man City kututambia ujinga wakati hata UEFA hawana wamekalia kelele tu hao washika ukuta wa LondonArsenal fans, hawawezi kutoa hoja zao bila kuweka utoto na ujinga ujinga ndani, wao kila kitu nikuponda bila facts ukizingatia hakuna wanachotuzidi katika mafanikio.
Kisu kwenye mfupa
Harry Maguire kuvuliwa unahodha?
Hajui unlock wapi wakati kampambania hadi kumpeleka kwa wataalamu wamuweke sawa ila hakuna anachobadilika
Amekuwa akiweka ngumu kuondoka, anaringia mkataba mrefu alionao pamoja na mshahara mkubwa anaolipwaKuna dalili za kuondoshwa kabisa maana yule bwana ni kama kasahau mpira
Huyo mzee nilimuona kwenye Arsenal: All or Nothing, yupo vizuri.Labda injuries zitapunguaView attachment 2682883
Glazers kwa siku za Jumamosi na Jumapili hawafanyi kazi, inapofika Ijumaa kila kitu kinasubiri mpaka Jumatatu.Kwanini vilabu vya uingereza na ulaya kwa ujumla huwa hawajishughulishi sana na masuala ya usajili kwa siku ya jumamosi na jumapili?
sio utoto ila ni utamaduni wa miaka na miakaArsenal fans, hawawezi kutoa hoja zao bila kuweka utoto na ujinga ujinga ndani, wao kila kitu nikuponda bila facts ukizingatia hakuna wanachotuzidi katika mafanikio.
Mchukue kwanza uefa na ligi ndio muwaze kubatle nasisi.sio utoto ila ni utamaduni wa miaka na miaka
after all, season hi mnatuachia point 6 msimu hu
Wazungu kwaujumla shughuli zao zote wanafungaga Ijumaa na ndio maana ukitumia mfano masoko ya kifedha fx mwisho ni Ijumaa. Weekend wenzetu wanaspend time na familia zao.Kwanini vilabu vya uingereza na ulaya kwa ujumla huwa hawajishughulishi sana na masuala ya usajili kwa siku ya jumamosi na jumapili?
Kwanza Hawa mafisi wanaotuita nyumbu. Sawa hatukatai maama sisi ni dunia nzima.Sasa mbona tumeshika nafasi ya 3 mzee ?
Kama tungekua tumeshika nafasi ya 4 hoja yako ya Brighton ingekua na mashiko.
NB: Maana yangu ni kwamba kwa kuwa tulishika nafasi ya 3, zilihitajika timu mbili kutuondoa kwenye top 4, badala ya hiyo moja uliyoitaja.
Kama yeye huyo Brighton kweli angekua good enough na kushika nafasi ya 3, basi sisi tungeshika nafasi ya 4 (still in top four) maana tulimzidi Newcastle points (tungemsogeza namba 5).
Vinginevyo njoo utaje wazembe wengine wote waliosababisha sisi tumalize ndani ya nne bora.
Hadi utakapofanya hivyo, acha kumuonea (kumbebesha zigo) Brighton.