Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ETH akiweza kupandisha viwango vya mchezaji kama sancho, anthony, mount, bissaka, martial, rashford awe na mwendelezo, bruno awe bora kama kawaida, na mabeki lindelof kiwango kiongezeke na confidence.
Then asajili onana na striker mpya, na beki mmoja wa kati....
ETH yuko makini na kila mechi anaichukulia serious.
Aongeze morali ya wachezaji.
akiongeza viwango na motisha tuna squand pana na bora kuliko timu zote isipokuwa man city tu EPL...
hao kina hamis na wengne wengi ni haters tu na maneno mengi but sisi ni bora kuliko hao 2nd wa 2022/2023 na last season overall assessment sisi tumefanikiwa kuliko arsenal lakini wao wamefanya improvement kubwa kuliko Sisi ndio maana hata wao wako excited na last season sababu ni rapid improvement walioifanya inawapa over confidence na kusema sana.
But ETH ni bora na next season ttakuwa bora sana....trust
 
Hapa wew ndio umeongea hoja mezani, ebu angalia mwenzio kwenye hoja zake utoto alioweka, ndio maana niliona ni ujinga anapigo za kike.

Aya turudi ulivyosema ni kweli hata mie naogopa, maana ligi ya italia sio ngumu Kama ya uingereza ambapo, kwa onana kutokua shot stopping Ni hatari sana.

Hivyo huu ni mtihani mwingine kwa ten hag ngoja tuone atafanya niny!
 
Bila kusajili namba 9 tutaendelea kupigania top 4
Tunaenda Kuanza pre season hatuna GK, hatuna striker, kwenye kiungo tuna Casemiro tu, na beki tuna Martinez na Varane pekee alafu tunaongea kuhusu top four? We'll be luck to finish ndani ya top ten
 
Tunaenda Kuanza pre season hatuna GK, hatuna striker, kwenye kiungo tuna Casemiro tu, na beki tuna Martinez na Varane pekee alafu tunaongea kuhusu top four? We'll be luck to finish ndani ya top ten
Mkuu deal ya Onana ni almost done na pre season atakuwepo.
 
Huwa mnakuwa wabishi na maneno mengi ya kebehi

Tulisema hivi hivi kuhusu Anthony masebene kuwa pale hakuna mchezaji ,

Leo % kubwa mnakubali pale ulifanyika utapeli
Yan watu tunasajiri wacheza mpira
7 hag amesajiri mcheza sebene. It's enough mkuu
 
Sasa naelewa kwanini nyumbu huwa wanahasira za karibu na wengi wao hukimbilia kujinyonga

Nyumbu mnatimu Bora na yenye build up inayoeleweka kuliko
Brighton, aston Villa, Fulham, N. Forest,?

Butua twende tukutane mbele mmeingia top four kwa sababu ya uzembe wa Brighton
 
Sasa mbona tumeshika nafasi ya 3 mzee ?
Kama tungekua tumeshika nafasi ya 4 hoja yako ya Brighton ingekua na mashiko.

NB: Maana yangu ni kwamba kwa kuwa tulishika nafasi ya 3, zilihitajika timu mbili kutuondoa kwenye top 4, badala ya hiyo moja uliyoitaja.

Kama yeye huyo Brighton kweli angekua good enough na kushika nafasi ya 3, basi sisi tungeshika nafasi ya 4 (still in top four) maana tulimzidi Newcastle points (tungemsogeza namba 5).

Vinginevyo njoo utaje wazembe wengine wote waliosababisha sisi tumalize ndani ya nne bora.
Hadi utakapofanya hivyo, acha kumuonea (kumbebesha zigo) Brighton.
 
Muda ni mwalimu mzuri Sana, acha ligi ianze

Sisi Kama mashabiki wa arsenal NDOO tumefurahia uhamisho wa de gea
 

Oya hujui ETH kashashindwa kuinua viwango vya kina Sancho, Martial ,?

Huyo Anthony Ni Usajili wake mwenyewe

Hujui kina Sancho, Martial, Fred ,tominay , wamewekwa sokon ?

Sancho alishapelekwa had sober house ,

Halafu last season sio rapid , ukitaka ushahid nakupa ,kabla ya pre season niliweka analysis tunaenda kupigania ubingwa

Na msimu huu tunaingia mazima kupambana
 
Huyu Sancho akija Arsenal atakiwa bonge la wingerView attachment 2682775
Ukiachana na Sancho hao wengine nawaona wakimaliza mikataba yao iishe ndio waondoke

Tuliposema Onana anakuja kucheza na beki na viungo gani hapo unyumbuni?
Kuna nyumbu mmoja akasema wao wapo vizuri Sana ukiachana na city kwa kuwataja hao wachezaji ambao Leo wamewekwa sokoni
Swali la kujiuliza 7hag yeye ni chizi?

Mbaya zaidi hao wachezaji hawauziki. So sad
 
Hii timu angepewa muarabu sahizi kina Magwaya na wadogo zake wangekuwa huko uarabuni na kina Benzema.
Sheikh Jasim angewapigia tu masheikh wenzake huko wamsaidie kuondoa hiyo mizigo maaana hata haiuziki
 
Mtoe Martial kwa hiyo list huyo hata Pep hawezi kumbadilisha.
Rashford ni mtu wa kuenda na upepo sana akiumia hata game 2 tu kiwango chake kinarudi default settings
Sancho kocha kampeleka hadi Uholanzi akae sawa ila bado magumashi
 
Tunaenda Kuanza pre season hatuna GK, hatuna striker, kwenye kiungo tuna Casemiro tu, na beki tuna Martinez na Varane pekee alafu tunaongea kuhusu top four? We'll be luck to finish ndani ya top ten
Acha umama nani kakwambia tunaenda bila kipa wakati wiki ijayo dili la Onana linakamilika

Au unadhani kipa ni Maguire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…