D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
"Ronaldo is a giant, I look forward to working with him" — BENCHEDsidhani kama ni maamuzi ya ten hag haya. Amekiri mara kadhaa confidently kuwa anahitaji abaki. Nadhani kilichomuondoa kipo nje ya uwezo wa kocha.
Kuna timu zilikuwa zinamtakashida sio kumtoa, anamtaka nani?
Kwenye hiki kikosi alikuwa amebaki yeye tu 😁The end of an era
View attachment 2682131
Kama Cucurela na Fofana?Colwill mali halali ya THE BLUES, hatumuuzi ogopa matepeli.
Wakati tunasajili vipaji nyie mkatoa £100 kumsajili beki mwenye kichwa kikubwa kama transforma kutoka Leicester city.
Endeleeni kula shot za umeme.
Ni mbinu zake tu za kuwalinda wachezaji kwenye media. Angekuwa anataka DDG abaki timu ingetafuta namna ya kusaini mkataba mpya na DDG kwa kuongeza kidogo mshahara waliopunguza.sidhani kama ni maamuzi ya ten hag haya. Amekiri mara kadhaa confidently kuwa anahitaji abaki. Nadhani kilichomuondoa kipo nje ya uwezo wa kocha.
Onana ataipata habari kwa hary magwayaOnana + backup GK. Hojlund aje na Martial abaki mpaka next summer. Tukipata pesa kwenye sales tumchukue Amrabat.
Ready for next season!
Ganacho??Onana ataipata habari kwa hary magwaya
Magwaya hajawai kutuangusha
Ipo hivi, Onana ni mzuri kuanzisha mashambulizi.
Kwaio lazima mabeki wawe comfortable kwenye kupokea mipira na kuanza mashambulizi. Swali la kujiuliza aina hiyo ya mabeki mnao? Jibu baki nalo
Kwenye saving, de gea anaeondoka na Onana anaekuja Nani ni mzuri? Jibu baki nalo
Tatizo kubwa la nyumbu ni kipa au kiungo na mabeki? Jibu baki nalo
Hadi dakika hii mnajua 7hag anacheza mtumo gani na msimu unaokuja anaingia na mfumo gani kwa wachezaji gani? Hapa hamna majibu, coz ata 7hag yeye mwenyewe hajui yupo na mfumo gani
Usajiri uliofanywa na 7hag tangu aingie
Anthony
Ganacho
Martinez
Eliksen
Casimiro
Totatl spending was €250m+
Swali, ata wewe ungekua mdhamini wa timu alafu unaambiwa uachie timu ungekubali? Jibu baki nalo
Antony mmepigwa au hamjapigwa?. Hapa jibu nawapa MMEPIGWA
Team yetu beki wa kucheza na Onana ni Lisandro Martinez pekee labda na Wan Bissaka
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
Hivi Martial akiwa uwanjani mbona Kama analazimishwa kucheza?Onana + backup GK. Hojlund aje na Martial abaki mpaka next summer. Tukipata pesa kwenye sales tumchukue Amrabat.
Ready for next season!
Kama David alikuwa anakwepa kumpasia Basi hata Mcameroon atafanya hivyo hivyoNikimfikiria Maguire akipsiwa pasi na Onana ndani ya 18… hahahahahh nacheka utadhani madhuri
ETH pls sajiri beki za kuendana na Onana please, well footwork
Hahaha! Yaani kwamba EtH hajui timu yake itacheza vipi next season? Ukifuatilia timu alizotoka na usajili wa Mount jibu ni rahisi tu.Onana ataipata habari kwa hary magwaya
Magwaya hajawai kutuangusha
Ipo hivi, Onana ni mzuri kuanzisha mashambulizi.
Kwaio lazima mabeki wawe comfortable kwenye kupokea mipira na kuanza mashambulizi. Swali la kujiuliza aina hiyo ya mabeki mnao? Jibu baki nalo
Kwenye saving, de gea anaeondoka na Onana anaekuja Nani ni mzuri? Jibu baki nalo
Tatizo kubwa la nyumbu ni kipa au kiungo na mabeki? Jibu baki nalo
Hadi dakika hii mnajua 7hag anacheza mtumo gani na msimu unaokuja anaingia na mfumo gani kwa wachezaji gani? Hapa hamna majibu, coz ata 7hag yeye mwenyewe hajui yupo na mfumo gani
Usajiri uliofanywa na 7hag tangu aingie
Anthony
Ganacho
Martinez
Eliksen
Casimiro
Totatl spending was €250m+
Swali, ata wewe ungekua mdhamini wa timu alafu unaambiwa uachie timu ungekubali? Jibu baki nalo
Antony mmepigwa au hamjapigwa?. Hapa jibu nawapa MMEPIGWA
Kama David alikuwa anakwepa kumpasia Basi hata Mcameroon atafanya hivyo hivyo
Captain fantastic akiwa anapasha unaweza kusema ni bonge la player.Kumbe Degea alikua anamkwepa hahahahh
Yule fala kichwa kikubwa bure kabisa
Pesa walizotoa boss msimu uliopitaHahaha! Yaani kwamba EtH hajui timu yake itacheza vipi next season? Ukifuatilia timu alizotoka na usajili wa Mount jibu ni rahisi tu.
Hapo ni hisia tu zimekufanya uandike hivyo ila ni ngumu kutabiri msimu wa timu kwa kutumia statistics za msimu uliopita.