😅😅Colwill mali halali ya THE BLUES, hatumuuzi ogopa matepeli.
Wakati tunasajili vipaji nyie mkatoa £100 kumsajili beki mwenye kichwa kikubwa kama transforma kutoka Leicester city.
Endeleeni kula shot za umeme.
Kwani onana amesajiliwaBado ila kama De Gea akiondoka nafasi ya kusajiliwa itaongezeka zaidi. Atakuja kama backup ya Onana.
Kumuuza watamchelewesha kuondoka. Wamgawe tu tuache kumuona kabisaMaguire anasubiri Nini kuuzwa
Tupo tayari kumkaribisha Onana, but akae akijuaHaya De Gea kashaondoka tuone kama tatizo la United lilikuwa ni De Gea
Anakuja Mcameroon ila akumbuke ile sio ligi ya Uholanzi
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
[emoji38]Tupo tayari kumkaribisha Onana, but akae akijua
*shot on target yoyote ni kosa lake (kashindwa ku command back line yake)
*Ikitokea free kick imepigwa na ikalenga goli ni kosa lake (kashindwa kupanga vizuri ukuta wake)
*Goli lolote atakalo ruhusu ni kosa lake hata ikiwa ni maguire kajifunga.
*Mpira ukipotea katikati ya uwanja still ni kosa lake
Daah! Dave Saves.
Hapa nimemuamini EtH. Maamuzi anayofanya yanahitaji roho ngumu sana. Kuanzia kumtimua Ronaldo mpaka kumpa De Gea mkono wa kwaheri.
Wamtoe tu hata kwa mkopo mshahara watamlipa wao kuliko kumkalisha bench atawapa kiwingu tu wenzake
"Ronaldo is a giant, I look forward to working with him" — BENCHEDsidhani kama ni maamuzi ya ten hag haya. Amekiri mara kadhaa confidently kuwa anahitaji abaki. Nadhani kilichomuondoa kipo nje ya uwezo wa kocha.