Acha kulalamika,mancity anatafuta engagement angalau miaka mitatu au minne aonekane anafanya mauzo mazuri ya wachezaji , ndio maana unaona hanunui Sana ila anajifanya anauza had £100m lakin Ni vitoto vya academy ambavyo hata havijawahi kucheza mechi 1 ,Mmmaaamae halafu sisi tumemuuza Zidane Iqbal kwa kiasi cha chini ya £m1
Rashford msimu wa 2021/22 alikuwa na magoli 5, so!?[emoji1787][emoji1787] mechi 32 goal 9 Seria A
£12m ya 2003 siyo pesa ndogo. Mchezaji kama Beckham aliuzwa kwa £25mRonaldo hakusajiliwa kwa €100m au €50m alikuja kwa £12m tu
Huyo dogo kwa €30m Ni sawa kabisa ila mechi 32 goal 9 €100m huo Ni utapeli
Wakati Anthony anakuja nilisema amecheza ligi ya wakulima ana Goli 8 tu , how comes anauzwa €100m , na haja prove chochote even ligi ya wakulima
Leo kila mtu anakubali pale Ni utapeli tu
Rashford ana misimu zaidi ya mitatu ana up and downRashford msimu wa 2021/22 alikuwa na magoli 5, so!?
Hii hoja ya kuwa na academy bora unaizungumziaje.Hiyo Ni michezo ya mancity Katika kubalance vitabu vyao ,bado mancity anatafuta engagement kwenye soko la ku spend asionekane mchafuzi,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaaahhh we jamaa ni nyoko sana aiseeee.View attachment 2681072
Onana unaambiwa anaweza kucheza hata namba 10 kwenye mechi rahisi kama za Cheltako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
GGMU FOREVER [emoji91][emoji91][emoji91]
Mpira wa statistics tu ni uongo. Hojlund anachozidiwa na Haaland ni kwenye mipira ya juu na mikimbio tu ila kwa umaliziaji wanawiana na Hojlund ana kasi zaidi pamoja na kutembea na mpira. Haaland ni goal poacher, ni profile tofauti na Hojlund.Achen kujidanganya , ni mchezaji aliyetokeza zaid msimu huu Katika mechi 32 ana Goli 9 tu
Haja prove ili tujue Uwezo wake ,kwa £50m+ Ni utapeli tu
Mwaka Jana wakati Liverpool wanamsajili Nunez kwa €80m nilisema Kuna hatari ya kupigwa sababu amefanya vzr msimu mmoja tu , lakin akawa anafananishwa na halland ambaye tayari alikuwa na 3 season kathibitisha ubora ule ule
Wachezaji wa one season wonder Ni 60% akafeli ,40% aka click ina depend na mazingira
Anakwenda kwa mkopoMason Greenwood has reached an agreement with Atalanta. He will be in Bergamo on Tuesday. He has said no to Juventus to join Atalanta
@AtalantaBC_News
Kama academy Bora Basi Chelsea wanaongozaHii hoja ya kuwa na academy bora unaizungumziaje.
Brahim diaz,
Frimpong
Jadon sancho
Lavia
Trafford
Sijakataa potential ya Hojlund ,hata Arsenal tulimuhitajiMpira wa statistics tu ni uongo. Hojlund anachozidiwa na Haaland ni kwenye mipira ya juu na mikimbio tu ila kwa umaliziaji wanawiana na Hojlund ana kasi zaidi pamoja na kutembea na mpira. Haaland ni goal poacher, ni profile tofauti na Hojlund.
Pale United hakuna mtu anafikia umaliziaji wa Hojlund. Kama Martial aliweza kufunga 20+ goals kwenye timu hii sioni Hojlund akifeli.
Siyo mchezaji wa €100m nahisi ni taarifa za uongo tu.Sijakataa potential ya Hojlund ,hata Arsenal tulimuhitaji
Tatizo hapo Ni hiyo Bei , Huyo sio wakuuzwa €100m
Na nyie sio muda mtaanza kupiga kelele kwa mchele mmepigwa.Robin Van Persie anatoka fayernood kwa £3m alikuwa winger , hakuwahi kumaliza msimu mzima Arsenal, na alipomaliza alifikisha Goli 25+
Huyo dogo hana thaman hiyo ,the same Kama tulivyopinga kwa Anthony ,Nunez ,even hata Bellingham ,muda Ni mwalimu
Huyo dogo labda angecheza Tena angalau msimu mwingine , sajili za one season wonder huwa Ni Risk
Ndio maana mm naamini Ni rahis Sancho akarejea na kuwa hatari kuliko Anthony ,sababu Sancho alishwahi kufanya balaa bundesliga 10+ Goals , 10+ Assist Tena zaidi ya msimu mmoja