Naliona kubwa la "Mabishoo" Martial hapo..Preseason training begins today.
#๐๐ง๐ช๐จ๐ฉ๐๐๐๐๐ง๐ค๐๐๐จ๐จ๐๐๐[emoji1179][emoji3541]
#๐๐ฃ๐๐ฉ๐๐๐๐ค๐ง๐ฉ๐๐๐๐๐ฃ๐จ[emoji2522]
#๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐จ๐จ๐๐ข๐๐ฃ๐ผ๐ฉ๐๐๐ฃ๐๐ฉ๐[emoji837]
#๐๐ก๐๐ฏ๐๐ง๐๐๐[emoji469]
#๐๐๐๐[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2680106
And Mourinho atabeba TREBLE nyingine before united kubeba ligi.Mourinho hawezi kurudi United..
Kuwa tu mpole.
Huyo hojilund, ni hatari sana anauwezo wa kufunga sehemu yoyote ambayo huwezi kutegemea kwakweli asajiliwe mapema.Sometimes tusisikilizage upuuzi mwanzo walisema bajeti ya usajili ni โฌ100-120m halafu kashasajiliwa Mount huku Onana soon akifuatiwa na Hojlund hapo jumla inavuka โฌ150m+
Imekaa vp ama haters ndio walikuwa wanataka kutuumiza tu[emoji23]
Ana goli ngapi msimu uliopita?Huyo hojilund, ni hatari sana anauwezo wa kufunga sehemu yoyote ambayo huwezi kutegemea kwakweli asajiliwe mapema.
CjuiAna goli ngapi msimu uliopita?
Adel Taarabt Epl Queens Park Rangers.Sio jina geni....Kuna timu epl Kisha cheza miaka ya nyuma....Kama sio kufanana majina.
Huyo Jamaa ni Kama mkataba wa Bandari tu, bado tunaye Sana tu.Naliona kubwa la "Mabishoo" Martial hapo..
Sijui kama kutakuwa na clear out yoyote ya maana.
Huwezi amini, goli 10 hajafikishaCjui
Subiri msajili ndio mseme hayo, subir mwisho upige Net spend tuone ukweli Ni upi ,Sometimes tusisikilizage upuuzi mwanzo walisema bajeti ya usajili ni โฌ100-120m halafu kashasajiliwa Mount huku Onana soon akifuatiwa na Hojlund hapo jumla inavuka โฌ150m+
Imekaa vp ama haters ndio walikuwa wanataka kutuumiza tu[emoji23]
Achen kujidanganya , ni mchezaji aliyetokeza zaid msimu huu Katika mechi 32 ana Goli 9 tuHuyo hojilund, ni hatari sana anauwezo wa kufunga sehemu yoyote ambayo huwezi kutegemea kwakweli asajiliwe mapema.
[emoji1787][emoji1787] mechi 32 goal 9 Seria AHuyo hojilund, ni hatari sana anauwezo wa kufunga sehemu yoyote ambayo huwezi kutegemea kwakweli asajiliwe mapema.
Ndio najua hilo, kuwa alikua na goli 9, Sasa cjajua lengo lako ni lipi!Huwezi amini, goli 10 hajafikisha