Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tushazidiwa hadi na Arsenal sokoni.

Hili chama letu siasa zimekuwa nyingi..

Hadi saivi ilibidi tuwe tushapata namba tisa wa kueleweka..na mbadala wa Casemiro..then Golini.
Yote kikwazo ni takeover Glazers waseme tu kama hawauzi timu mambo mengine yafanyike maana kuna targets tutakosa kusajili halafu tuje kufanya panic buys tarehe 31.8
 
Watu hawasajili majina kama zamani
Sasa hivi na zamani hakuna tofauti,timu kubwa zinasajili uwezo wa mchezaji uwanjani na jina pia,
Angalia usajili wa timu Kama Mancity,Chelsea,Liverpool,Real Madrid,Barcelona,Bayern....je Hawa hawasajili Majina?
Na Hauzi kuwa na jina ukakosa uwezo uwanjani kwani jina hukuzwa na uwezo wako katika pitch.

Tukubali Man Utd imepoteza mvuto kwa wachezaji wakubwa hatuwezi kubattle na kina Mancity, Liverpool,Barcelona, Beyern.
 
Dr.Shika bado yupo kwenye kinyang'anyiro cha kununua Timu

[emoji2788] Sir Jim Ratcliffe maintains he's still in the race to buy #MUFC.

โ€œWe obviously canโ€™t say too much because weโ€™ve signed an NDA and we respect that but thereโ€™s still a process and weโ€™re in the process...
 
Kuachilia mbali mismanagement ya timu kama united, football imebadilika sana. Too much rules
Liverpool wkt wako onfire walisajil vijana wasio na names kabisa, ila baada ya msimu wamepata majina wakiwa liverpool.
Majina yarakusaidia kukuza team in marketing lakin technical wise kama hilo jina haliwezi deliver hata hiyo market ita fail.
 
IKIWA MANCHESTER UNITED WATAMPATA ANDRE ONANA,ITAKUA NI DIRA BORA KWA ERIC TEN HAG.

Hali ilivyosasa..

Ni wazi fika Man united kwasasa inakumbwa na hali ya kutokua na kiwango kizuri cha fungo la usajili,kuna baadhi ya taarifa zinasema kiwango alichopewa Ten Hag ni ยฃ120 mil.

Licha ya kuwa taarifa hizi sio rasmi lakini bado haifichi ukweli ya kuwa United kwasasa wapo kwenye ugumu katika fungo la pesa za usajili. Pia bado eneo la utawala bado halijakaa sawa, Hakuna kinachoeleweka moja kwa moja. klabu inauzwa ama la.!!.

TIMU LAZIMA IENDELEE.

Ten Hag analijua hili, kazi yake ni moja tu,kuhakikisha timu inafanya vizuri pasina kujali kile kinachoelendelea juu,ukiwa kama Meneja mkuu kazi yako kubwa ni kudhibiti kitaaluma kitengo ulichokabidhiwa.

Kitalamu Erick anavyo vipaumbele kuhusu timu yake kuelekea msimu ujao,na niwazi anahitaji kuingia ndani ya pre-seoson akiwa na ukamilifu wa baadhi katika orodha yake, Tayari anaye Mason Mount, kisha anamuhitaji Onana.

KWANINI ANDRE ONANA,AU KWANI GOLIKIPA MPYA.

Kwanza ni katika kuhakikisha timu inacheza kama anavyotaka. Msimu ulioisha Ten Hag alibezi zaidi kwenye mkakati kuliko falsafa. mkakati ni kuhakikisha timu inapata matokeo pasina kujali ni mtindo upi mama utatumika kuhakikisha unapata matokeo .

Falsafa ni mtindo unaoeleweka wa uchezaji katika kuhakikisha timu inapata matokeo.falsafa ya Hag ni kuifanya timu yake inadhibiti(umiliki ) wa mchezo,pasi na nafasi .

United ya Hag haikucheza hivyo, hii ilitokana na yeye kutokua na ufahamu mzuri wa kiufundi kuhusu wachezaji wake kiutendaji .

KUSUKA MTINDO WA UCHEZAJI.

Falsafa za kudhibiti mchezo zinahitaji uwe na mlinda mlango mwenye uwezo mkubwa wa kudaka na mwenye umahili miguuni, ili kufanikisha adhma yake anahitaji kwanza golikipa wa namna hiyo(hapa ataenda kutengeneza style of play) kisha baadae itabakia kwa mchezaji mmoja mmoja kutekeleza majumu kiufundi.

KATI YA MSHAMBULIAJI NA GOLIKIPA NANI MUHIMU KUMPATA KABLA.

Ten Hag anaenda kuitengeneza United kifalsafa, na hii itatokana kama atampata mapema mlinda mlango anayemuhitaji. Dira ya uchezaji inatengenezwa kuanzia kwa golikipa,kisha mbinu za kiujumla zitatengenezwa kutokana na aina ya wachezaji alionao.

kutokana na bajeti iliopo ikisema usajili mshambuliaji mahili inamaana hautampata golikipa unayemuhitaji, itakulazim utoke nje ya falsafa, kitu ambacho sio sera ya makocha waliokulika kwenye misingi ya sera hiyo.

Jibu mlinda mlango ni muhimu zaidi katika falfasafa kuliko mshambuliaji,Ukimpata Onana umeipata falfasafa,kisha mambo mengine yatafuta baada ya kuipata cream ya timu .

JE TIMU INAWEZA KUFANYA VIZURI PASINA MSHAMBULIAJI WA KATI.

Ndio, bila shaka... ikiwa kama utakua na ugumu katika kuzuia na kucheza soka safi utakua na nafasi kubwa ya kushinda mchezo.

mfano Man city ya msimu wa 2021/2022 iliweza kuchukua taji pasina kuwa na mshambuliaji mahili wa kati, Muda mwingi gabriel Jesus aliwekwa bench. hata Arsenal hatari ya msimu ulioisha bado haikua na strike mahili lakini ni mingoni mwa timu zilizofunga mabao mengi,.

Wachezaji wake wengi wa mbele waligawana mabao. United inawachezaji wengi mahili nafasi ya mbele, unaweza kuwatumia hawa wote kuhakikisha wanakupa mabao, una Sancho, Antony,Rashford ,Martial,Bruno fernandez,Mason Mount na Mason Greenwood, hawa wote wanauwezo wa kufunga na kuasist..

KUUZA SIO RAHISI KWASASA.

Utaanzaje kuuza wachezaji ukiwa hauna uhakika wa kununua wengine. haiwezekani kabisa. Malengo makubwa ya Ten Hag ni kuhakikisha anatumia nyenzo alizonazo kutengeneza anachokihitaji, kama kutakua na mbadiliko yeyote basi anaweza kuyafanya baadae ila kwasasa tusitegemee kuona United inauza baadhi ya wachezaji wake wa kikosi cha kwanza.

WASHABIKI WAMSAPOTI TEN HAG.

Bila kuficha kwasasa United ndio timu ambayo haieleweki nini inakifanya, inawachezaji wengi ambao ni mizigo, haina pesa, haina uongozi imara. kwa ufupi United ni kama dume la ng'ombe ambalo halina faida.

Usitegemee kuiona Unitd inashindana na timu kama Man city,Arsenal na Real Madrid. Ondoa matarajio kuhusu Manchester united.Jiandae kwa chochote . Nakuhusia play katika sehemu unayoiyona itakufaa kama shabiki,napo ni kumsapoti Ten Hag.

Wasallam..

Kalamu ya Nasri kulemba
follow instagram Nasrikulemba.
 
Manchester United will proceed with new verbal bid for Andrรฉ Onana. Conversations will continue with Inter as opening bid worth โ‚ฌ40m plus โ‚ฌ5m add-ons has been rejected. [emoji837]

Onana's position is clear: prepared to accept Man United if the two clubs will agree on fee.

#๐™๐™ง๐™ช๐™จ๐™ฉ๐™๐™๐™š๐™‹๐™ง๐™ค๐™˜๐™š๐™จ๐™จ๐™€๐™๐™ƒ[emoji1179][emoji3541]
#๐™๐™ฃ๐™ž๐™ฉ๐™š๐™™๐™›๐™ค๐™ง๐™ฉ๐™๐™š๐™๐™–๐™ฃ๐™จ[emoji2522]
#๐™Ž๐™๐™š๐™ž๐™ ๐™๐™…๐™–๐™จ๐™จ๐™ž๐™ข๐™„๐™ฃ๐˜ผ๐™ฉ๐™ˆ๐™–๐™ฃ๐™๐™ฉ๐™™[emoji837]
#๐™‚๐™ก๐™–๐™ฏ๐™š๐™ง๐™Š๐™๐™[emoji469]
#๐™‚๐™‚๐™ˆ๐™[emoji123][emoji41]

man utd |
 
Manchester United team prediction for next season

#๐™๐™ง๐™ช๐™จ๐™ฉ๐™๐™๐™š๐™‹๐™ง๐™ค๐™˜๐™š๐™จ๐™จ๐™€๐™๐™ƒ[emoji1179][emoji3541]
#๐™๐™ฃ๐™ž๐™ฉ๐™š๐™™๐™›๐™ค๐™ง๐™ฉ๐™๐™š๐™๐™–๐™ฃ๐™จ[emoji2522]
#๐™Ž๐™๐™š๐™ž๐™ ๐™๐™…๐™–๐™จ๐™จ๐™ž๐™ข๐™„๐™ฃ๐˜ผ๐™ฉ๐™ˆ๐™–๐™ฃ๐™๐™ฉ๐™™[emoji837]
#๐™‚๐™ก๐™–๐™ฏ๐™š๐™ง๐™Š๐™๐™[emoji469]
#๐™‚๐™‚๐™ˆ๐™[emoji123][emoji41]

man utd |
 
Harry Maguireโ€™s salary increase as a result of #MUFC qualifying for the #UCL is making it more challenging to sell the defender.

#JamieJackson
#๐™๐™ง๐™ช๐™จ๐™ฉ๐™๐™๐™š๐™‹๐™ง๐™ค๐™˜๐™š๐™จ๐™จ๐™€๐™๐™ƒ[emoji1179][emoji3541]
#๐™๐™ฃ๐™ž๐™ฉ๐™š๐™™๐™›๐™ค๐™ง๐™ฉ๐™๐™š๐™๐™–๐™ฃ๐™จ[emoji2522]
#๐™Ž๐™๐™š๐™ž๐™ ๐™๐™…๐™–๐™จ๐™จ๐™ž๐™ข๐™„๐™ฃ๐˜ผ๐™ฉ๐™ˆ๐™–๐™ฃ๐™๐™ฉ๐™™[emoji837]
#๐™‚๐™ก๐™–๐™ฏ๐™š๐™ง๐™Š๐™๐™[emoji469]
#๐™‚๐™‚๐™ˆ๐™[emoji123][emoji41]

man utd |
 
Preseason training begins today.

Brandon Williams, Amad & Dion McGhee training together [emoji93][emoji94]

#๐™๐™ง๐™ช๐™จ๐™ฉ๐™๐™๐™š๐™‹๐™ง๐™ค๐™˜๐™š๐™จ๐™จ๐™€๐™๐™ƒ[emoji1179][emoji3541]
#๐™๐™ฃ๐™ž๐™ฉ๐™š๐™™๐™›๐™ค๐™ง๐™ฉ๐™๐™š๐™๐™–๐™ฃ๐™จ[emoji2522]
#๐™Ž๐™๐™š๐™ž๐™ ๐™๐™…๐™–๐™จ๐™จ๐™ž๐™ข๐™„๐™ฃ๐˜ผ๐™ฉ๐™ˆ๐™–๐™ฃ๐™๐™ฉ๐™™[emoji837]
#๐™‚๐™ก๐™–๐™ฏ๐™š๐™ง๐™Š๐™๐™[emoji469]
#๐™‚๐™‚๐™ˆ๐™[emoji123][emoji41]

man utd |
 
[emoji599] Manchester United's most expensive signings in history:

[emoji2389][emoji632] Pogba: โ‚ฌ105M
[emoji2390][emoji1054] Antony: โ‚ฌ95M
[emoji2391][emoji1022]๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Maguire: โ‚ฌ87M
[emoji2392][emoji1022]๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Sancho: โ‚ฌ85M
[emoji2393][emoji1045] Lukaku: โ‚ฌ84.7M
[emoji2394][emoji1033] Di Marรญa: โ‚ฌ75M
[emoji2395][emoji1054] Casemiro: โ‚ฌ70.7M
[emoji2396][emoji1201] Fernandes: โ‚ฌ65M
[emoji2397][emoji1022]๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Mount: โ‚ฌ64M [emoji682]
[emoji647][emoji632] Martial: โ‚ฌ60M

#๐™๐™ง๐™ช๐™จ๐™ฉ๐™๐™๐™š๐™‹๐™ง๐™ค๐™˜๐™š๐™จ๐™จ๐™€๐™๐™ƒ[emoji1179][emoji3541]
#๐™๐™ฃ๐™ž๐™ฉ๐™š๐™™๐™›๐™ค๐™ง๐™ฉ๐™๐™š๐™๐™–๐™ฃ๐™จ[emoji2522]
#๐™Ž๐™๐™š๐™ž๐™ ๐™๐™…๐™–๐™จ๐™จ๐™ž๐™ข๐™„๐™ฃ๐˜ผ๐™ฉ๐™ˆ๐™–๐™ฃ๐™๐™ฉ๐™™[emoji837]
#๐™‚๐™ก๐™–๐™ฏ๐™š๐™ง๐™Š๐™๐™[emoji469]
#๐™‚๐™‚๐™ˆ๐™[emoji123][emoji41]

man utd |
 
Naona Onana dil lake kukamilika halitachelewa kam tulivyozoea
 
Hawa wanaotaka majina naona ni kama wamesahau, utd misimu ya karibuni tumekuwa tukisajili majina kwa bahati mbaya asilimia tisini yalifeli. Tukianza na Pogba Falcao, Di maria, Sanchezi na Sancho yote haya yalifeli au yamefeli. Utd miaka yote tangu enzi ya Sir Ferg tumekuwa tukisajili wachezaji wasio na majina na kuwafanya wawe na majina, mambo ya kusajili majina hayo niyakina Madrid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ