Huu Ni ukweli lakini watu hawapend kuukubali , sajili Kama za hojlmund Ni kuna connection ya wakala wa 10 hag ndio wakala wa huyo dogo,Unless by the time unasoma post yangu ulikua umekalia kitu chenye ncha kali.
Nimesema wachezaji toka ligi ya uholanzi sijasema waholanzi, na katika sajili zote alizofanya EtH ni Sabilzer na Casemiro ndio hawajapitia ligi ya uholanzi.
Casemiro sababu ya kumkosa FDJ (mholanzi)
Sabilzer sababu ya kuumia kwa DvB (mholanzi)
Kijana inaonekana hufuatilii vyema soka Hojlund ana miaka 20 tu na hajawahi kuwa na connection na ETH hadi mwezi uliopita alipojiunga na Agency ambayo inamsimamia pia ETH.Huu Ni ukweli lakini watu hawapend kuukubali , sajili Kama za hojlmund Ni kuna connection ya wakala wa 10 hag ndio wakala wa huyo dogo,
Sajili zake zote au asilimia kubwa Zina connection au alishawahi kuwafindisha au wamepita Erevedise
Watu walihoji kwanini asingempa nafasi McNeill au akatafuta CF wamaana kuliko kumleta ndugu yake Weghost ambaye hajafunga Goli hata 1
Kama nyie Chelsea ndio mshazoea kupigwa zaidi yetu mlifika hadi hatua ya kutoa β¬120m kwa striker MajashoTimu la kupigwa kila leo
Unamaanisha Charlie McNeill? Kama ndiyo, naona bado kwake kutegemewa. Anaweza kuwa na kila kitu kucheza CF ila kwa EPL anahitaji muscular physique.Huu Ni ukweli lakini watu hawapend kuukubali , sajili Kama za hojlmund Ni kuna connection ya wakala wa 10 hag ndio wakala wa huyo dogo,
Sajili zake zote au asilimia kubwa Zina connection au alishawahi kuwafindisha au wamepita Erevedise
Watu walihoji kwanini asingempa nafasi McNeill au akatafuta CF wamaana kuliko kumleta ndugu yake Weghost ambaye hajafunga Goli hata 1
Msimu ujao hatuna chetu. Tutakuwa wasindikizaji tu!Wana man united mna lipi la kusema kabla ya msimu mpya kuanza ??
Hata Mimi naona dalili hizo hizo mkuuMsimu ujao hatuna chetu. Tutakuwa wasindikizaji tu!
Anamtaka Sofyan Amrabat, alishawahi kumfundisha Utrecht but the so called top red watasema tuna ajenda na ten hagHuu Ni ukweli lakini watu hawapend kuukubali , sajili Kama za hojlmund Ni kuna connection ya wakala wa 10 hag ndio wakala wa huyo dogo,
Sajili zake zote au asilimia kubwa Zina connection au alishawahi kuwafindisha au wamepita Erevedise
Watu walihoji kwanini asingempa nafasi McNeill au akatafuta CF wamaana kuliko kumleta ndugu yake Weghost ambaye hajafunga Goli hata 1
Sasa ajabu nini mbona hata Ancelotti alikuwa anamvuta James Rodriguez kila anapoenda,ama JosΓ© Mourinho na Matic na ukichimba zaidi makocha wengi wana kawaida hiyo sio dhambi kufanya kazi na former players wako ila walioota kutu kwenye ubongo kila kitu kwao nongwaAnamtaka Sofyan Amrabat, alishawahi kumfundisha Utrecht but the so called top red watasema tuna ajenda na ten hag
Sabitzer ilikuwa ni replacement ya Eriksen aliyekuwa injured.Unless by the time unasoma post yangu ulikua umekalia kitu chenye ncha kali.
Nimesema wachezaji toka ligi ya uholanzi sijasema waholanzi, na katika sajili zote alizofanya EtH ni Sabilzer na Casemiro ndio hawajapitia ligi ya uholanzi.
Casemiro sababu ya kumkosa FDJ (mholanzi)
Sabilzer sababu ya kuumia kwa DvB (mholanzi)
Wakati tunafungwa sita Casemiro alikuwa hajakamilisha taratibu za usajiliVan De Beek msimu ulioisha hata game 5 hajafikisha acha uongo.
Alichukuliwa Sabitzer baada ya Eriksen kuumia dhidi ya Reading January.
Nimeweka orodha ya wachezaji wa nje ya Uholanzi kocha aliowataka na target zake wengine akawakosa.
Kim Min Jae
Lavia anaenda Liverpool
Axel Disasi
Todibo
Nunez tulimkosa
Hojlund
Mehdi Taremi
Koch
Rabiot
Mount
Goncalo Ramos
Diogo Costa
Tukirudi kwa FDJ sidhani kama hata tungemsajili ile 6 angeiweza,ninachoelewa labda kocha alimtaka acheze pale kati na Scott la sivyo tungechapika sana yule labda 8 ndio anatisha ila DM ni kujilipua.
Casemiro pia nina wasiwasi haukuwa usajili wake maana mwanzo alikuwa anampiga benchi akiona Scott ni bora hadi tulivyochezea 6 kwa City ndio akili ikamkaa sawa.
Wachezaji wengi wa nje ya Uholanzi timu zao zinatukatalia nyingine zinataka pesa ndefu sana makusudi.
Asingekuwepo ETH hata hao akina Martinez na Malacia mfano tungewataka wala tusingewapata ni connection za kocha tu ndio zimetusaidia kwa hapo ila kwa sasa hatuna ushawishi kwa wachezaji hata mchezaji wa timu iliyoshuka daraja anaweza kutupiga chini tukimtaka ndio maana inatumika mishahara mikubwa kuwatamanisha.
We si unaona Liverpool ambavyo wanasajili bila tetesi zikiwepo sana ni wiki wanamaliza kazi ila sisi tunaweza kumtaka mtu mwezi mzima na tukamkosa.
Wa kuiokoa timu ni mmiliki mpya tu na wapatikane Technical na Football Director wengine
Pesa za kufanya usajili katika dirisha dogo, za kutafuta striker maana alikuwa nazo ?Huu Ni ukweli lakini watu hawapend kuukubali , sajili Kama za hojlmund Ni kuna connection ya wakala wa 10 hag ndio wakala wa huyo dogo,
Sajili zake zote au asilimia kubwa Zina connection au alishawahi kuwafindisha au wamepita Erevedise
Watu walihoji kwanini asingempa nafasi McNeill au akatafuta CF wamaana kuliko kumleta ndugu yake Weghost ambaye hajafunga Goli hata 1
Alikuwa kashatua tena ni mwezi wa 10 baada ya International break ilikuwa tulivyopigwa 6-3 na Man CityWakati tunafungwa sita Casemiro alikuwa hajakamilisha taratibu za usajili