Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,787
- 2,233
Mount si tayri ssa mnataka sajili gani zifanyike nyie manjestaGlazers wanasita kutoa pesa nyingi wakati timu ipo kwenye transition ya kutaka kuuzwa.
Hawa wapuuzi walitakiwa kupewa presha kubwa ili wauze hio timu haraka kabla hata dirisha la usajili halijafunguliwa.
Matokeo ya ucheleweshwaji wa kuuza timu ndio haya mpaka dirisha linafungwa usajili kwenye club yetu bado hueleweki.
Bado tunauhitaji wa Kipa na Forward makini pale mbele.Mount si tayri ssa mnataka sajili gani zifanyike nyie manjesta
Operation ni kuifilisi MANCHESTER UnitedSina imani na Onana kuwa kipa namba moja kiukweli labda aje awe chaguo la pili
Huwa namuona kama John Mwanda tu
Ten Hag ni jasusi bobezi la Dutch government hapo MANCHESTER UnitedHao sio mashabiki wa Manchester United, ni mashabiki wa Arsenyeto wanaojifanya ni mashabiki wetu kumbe ni mamluki.
Tena inawezekana huyo aliyefanya uhaini huo akawa ni Carasco Putin au Bachelor ll
Mimi ni shabiki waMbona hao kina Bachelor na Carasco ni watu wenu?
Kenge wewe unafikiri Man United ni kama timu zenu za Bongo pesa kuungaunga!Operation ni kuifilisi MANCHESTER United
Na wewe kawe jasusi la Tanzanian Government kama rahisiTen Hag ni jasusi bobezi la Dutch government hapo MANCHESTER United
Ten Hag mm namjua kitambo kuwa no jasusi since anafundisha fc kylehaya mambo ya kila mchezaji wa Kiholanzi kuhusishwa na Man Utd ndio yanafanya kina Bachelor ll kupata nguvu zaidi ya kumhusisha 10 Hag na ujasusi wa nchi yake dhidi yetu.
Jamaa ni jobless na kaoa! 😁David de Gea is a married man
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐
man utd |View attachment 2675547View attachment 2675548
Sitashangaa tukianza pre-season striker akiwa Martial.Ila timu yetu ya ajabu aisee eti €45m kwa Hojlund kubwa na wakati timu inahitaji striker na waliopo wote bei ghali hawawezi kuwapata kwa chini ya €90m.
Naona wanataka kurudia mistakes za kwa Haaland.
Yaani wametoa pesa nyingi kwa wachezaji takataka kama Antony ila hiyo €45m hapo wanadai kubwa sana sijui walidhani watampata nani kwa bei chee.
Kama wanataka strikers kwa bei chee waende kwa wale wazee halafu hawana uwezo ama wamrudie Weghorst ***** zao maana ndio cheap kwa soko la sasa.View attachment 2675892
Fc kyle ndio nn kweli vichwa vya kuku nyie mnawaza pumba tuTen Hag mm namjua kitambo kuwa no jasusi since anafundisha fc kyle
Ngoja utaonaKenge wewe unafikiri Man United ni kama timu zenu za Bongo pesa kuungaunga!
Utafirisika wewe Man United bado itasimama.
Mbona mimi jasusi kitambo saana ndio maana nimeligundua hilo jasusi la Dutch government hapo MANCHESTER UnitedNa wewe kawe jasusi la Tanzanian Government kama rahisi
Katika wachezaji wetu ambaye simpendi kuliko ni Martial anacheza kama kalazimishwa hata facial expression zake kama anaonewa.Sitashangaa tukianza pre-season striker akiwa Martial.
Hii timu ni stress tupu kwasababu kama washajua hawana pesa wauze basi wachezaji lakini kwenye kila kitu timu ipo slow.
Mimi naamini tayari kocha ana list ya watu wake na wale asio na mpango nao ni suala la timu kuwa wazi. Kama Maguire, Fred, Scott n.k. hawahitajiki wakae sokoini mapema.
Fc kyle ni timu ambayo jasusi alianzia ukochaFc kyle ndio nn kweli vichwa vya kuku nyie mnawaza pumba tu
Niia pekee ya Man United kufirisika ni kubaki bila mmiliki we endelea na fikra zako za Kimama.Ngoja utaona
Tuna imani na MartialKatika wachezaji wetu ambaye simpendi kuliko ni Martial anacheza kama kalazimishwa hata facial expression zake kama anaonewa.
Halafu alijiumiza makusudi ili asiuzwe kwa sababu hatuwezi kuuza mtu akiwa majeruhi.
Na pre season akifunga vigoli viwili kocha anamuamini kweli kumbe ni mtego.Saa hizi hatakiwi kudanganyila kabisa ni atafute striker hata Mehdi Taremi kwa €20m sio mbaya na backup yake young striker halafu Martial aozee benchi kama akina Lingard na Jones.
Hakuna timu yenye jina hilo jiheshimu nenda kaandike pumba kwenye jukwaa la timu yenu acha shobo na timu zisizokuhusu ni ushosti huoFc kyle ni timu ambayo jasusi alianzia ukocha
Sawa ngoja tuoneDiogo Costa na Kevin Trapp wapo Eredivisie?
Nishasema mwanzo kuwa Ten Hag akifeli kupata target yake plan B yake anaenda kwa wale wepesi kuwapata ndio anatua Eredivisie.
Hata akiwa Ajax alikuwa hatumii Dutchs unless wana skills sana kama ingekuwa hivyo wangekuwa 80% ya first 11 wanachukua wao.
Halafu umesahau Wenger wenu alikuwaga anabeba sana Wachezaji toka ligue 1? Rafa Benitez akiwa Liverpool alikuwa anabeba sana wachezaji toka La Liga?
Ila akifanya wa United ndio crime
Porto walitaka €70m kwa Costa na bajeti yetu haieleweki ndio maana akaenda kwa Onana wa bei nafuu kiasi.
Na akishindwa hapo ndio anaweza kuja na plan ya mwisho wa Mdachi wa Feyenoord ama ambakishe Henderson.
Van Gaal alishamuonya kufanya kazi kwenye timu ya kisenge hii.
We subiri siku Mwarabu anaichukua timu halafu Techinical na Football Directors wakabadilishwa uone kama atasaini wachezaji wenye connection nae.