Kweli chenye mwanzo kina mwisho...hivi kweli hii ndiyo MAN U ile ambayo naijua mimi au hii ni nyingine? Duuh Poleni sana watani zetu...sisi wenzenu bado tunauguza vidonda vya Bayern Munich
Hapa ni kuomba tupigwe la tatu, labda tukifikia kiwango hicho cha uchovu wafanyao maamuzi ndo wataona kwamba United hawana future kama wakiendelea kuongozwa na David Moyes
Dm akitaka ashinde mechi inayokuja its better akampanga januza na kagawa kwa pamoja.okiendelea na mtindo wake wa kuwapendelea waingereza we are out,no discussion katika hilo.....