Arsenal ana ChampionsUmeanza vizuri na ukaharibu hapo hapo. Msako unaofanywa na vitimu vidogo halafu unasema haswa Brighton na Arsenal? Aah bhana. Hakika unamaanisha vitimu vidogo vyenzenu kama Chelkenge na Liverkuku. Brighton na Arsenal ni timu kubwa sana kwenu
wapo baadhi mfano mbappé.. alienda psgNa hakuna mchezaji wa mkopo anayeoneshaga kiwango cha juu
Nyie mna golden trophy ngapi?Arsenal ana ChampionsLeague ngapi?
Huyo PSG waliogoga FFP ila walikuwa na uwezo wa kulipa zile €150m fasta.wapo baadhi mfano mbappé.. alienda psg
kwa mkopo kutoka monaco kbla y psg
kumsajili mazima.
Hao Brighton sio kwetu tu wanajua kuzitesa timu zote za top 6 halafu pia kuhusu sisi kufanyiwa msako na timu ndogo ni ishara ya udhaifu,huwezi kuona timu zinazojua kucontrol mchezo kama City na Liverpool zinafanywa hivyo.Kwa msako ambao utd huwa tunafanyiwa na vitimu vidogo vidogo hasa Arsenal na Brighton kama tusipojirekebisha ipo siku tutamkumbuka De gea. De gea amekuwa akifanya save ambazo zimekuwa zikishangaza wengi hivyo kama tusipojirekebisha sioni kipa atayeweza himili misako ya namna ile.
Umeanza vizuri na ukaharibu hapo hapo. Msako unaofanywa na vitimu vidogo halafu unasema haswa Brighton na Arsenal? Aah bhana. Hakika unamaanisha vitimu vidogo vyenzenu kama Chelkenge na Liverkuku. Brighton na Arsenal ni timu kubwa sana kwenu
Onana Ni usajili mzuri , bado sijaona EPL kipa anayemfikia kwa footwork,ila Kama una onana lakin viungo bado waoga kupiga risk pass , Wana passing ability mbovu ,Basi onana mtamuona Kama Erik JohoraHiyo sekta ya kushambuliwa kama nyuki inakuwa inaashiria timu bado mbovu ina viungo wasiojua kucontrol mchezo kuna muda inatokea vitu vipo nje ya uwezo wa kipa ndio tunapigwa zile 4 4 hata 6 kabisa.
Timu ikija kujua kucontrol mchezo eneo la kati hatutaexperience hivyo tutakuwa tunaruhusu mashambulizi machache sana na yasiyo na madhara
So kushambuliwa sana shida sio kipa ni ya timu nzima,kama Onana atakuwa pazia whatever ila anahitajika kipa mwingine hata kama asipokuwa yeye sawa.
Ten Hag game za mwisho za msimu ndio zimemchefua kiasi hata akaghairi kumsainisha mkataba mpya De Gea.
Onana ana footwork ambayo mkipress anaweza kupiga pass Moja ikaenda Hadi kwa WingaMiaka michache nyuma sisi tulimsaka sana huyu mwamba ikashindikana. Mkimpata mmepata
Manjesta ana miaka mingap bila ligi? Siumekaa miaka mitano bila taji lolote ,au unajisahaulishaHENRY14 sasa na wewe unaamini kabisa kua Arsenyo ni timu kubwa?
Hebu nitajie wewe timu kubwa yoyote Ulaya ambayo haijawahi kushinda Uefa na ina miaka zaidi ya 20 haijawahi kuchukua kombe la ligi na ina miaka 8 mfululizo imeshindwa kuingia top4.
Hatuzungumzii miaka 5 bila ya kombe lolote, nimeuliza timu gani kubwa unayoijua wewe haijawahi kubeba kombe la ulaya Uefa au Europa na pia ina miaka 20 haijawahi kuchukua kombe la ligi na ina miaka 8 mfululizo haijawahi kufuzu kuingia kwenye top4.Manjesta ana miaka mingap bila ligi? Siumekaa miaka mitano bila taji lolote ,au unajisahaulisha
Sema atajaribu kulifanyia kazi mazoezini na kwenye mechi ndio maana kaomba,friendlies nyingi pre seasonOnana ana footwork ambayo mkipress anaweza kupiga pass Moja ikaenda Hadi kwa Winga
Mkapigiwa pass Moja ,Goli ,kaangalie UCL wachezaji wa City wanasifika kwa pressing ila walifika muda wanaogopa kumfata
Shida inakuja hapo manjesta anacheza na viungo gani
Leta list ya timu kubwa hapa kwa mujibu wa forbes au FIFA au UEFA , halafu tuanze kuangalia moja Moja ,Mimi najua hata Forrest ana UCL 2 ,ila Ni timu ndogo tuHatuzungumzii miaka 5 bila ya kombe lolote, nimeuliza timu gani kubwa unayoijua wewe haijawahi kubeba kombe la ulaya Uefa au Europa na pia ina miaka 20 haijawahi kuchukua kombe la ligi na ina miaka 8 mfululizo haijawahi kufuzu kuingia kwenye top4.
Hao sio mashabiki wa Manchester United, ni mashabiki wa Arsenyeto wanaojifanya ni mashabiki wetu kumbe ni mamluki.Mashabiki wa CR7 mjiheshimu ndio mnaongoza kwa huu upuuzi wa kumchukia kochaView attachment 2674905
Hao sio mashabiki wa Manchester United, ni mashabiki wa Arsenyeto wanaojifanya ni mashabiki wetu kumbe ni mamluki.
Tena inawezekana huyo aliyefanya uhaini huo akawa ni Carasco Putin au Bachelor ll
Hao sio mashabiki wa Manchester United, ni mashabiki wa Arsenyeto wanaojifanya ni mashabiki wetu kumbe ni mamluki.
Tena inawezekana huyo aliyefanya uhaini huo akawa ni Carasco Putin au Bachelor ll
Mbona hao kina Bachelor na Carasco ni watu wenu?
sio kweli hao ni mamluki wa Wagner.
Daaahhh ila Arsenyau bana, miaka 8 mfululizo mlishindwa kutoboa kwenye top4 halafu bila ya aibu hicho ki Academy chenu mnataka tukiite ni timu kubwa?Wewe huoni wamefurahi sana Nyumbuz kuingia UCL? Sisi wanaarsenal hatujapenda kabisa kuona nyie mpo UCL
Daaahhh ila Arsenyau bana, miaka 8 mfululizo mlishindwa kutoboa kwenye top4 halafu bila ya aibu hicho ki Academy chenu mnataka tukiite ni timu kubwa?
Jiandae July 22 ,usije sema hamjasajili , tumeomba Friend match na nyieDaaahhh ila Arsenyau bana, miaka 8 mfululizo mlishindwa kutoboa kwenye top4 halafu bila ya aibu hicho ki Academy chenu mnataka tukiite ni timu kubwa?