Mna tatizo la Graza, tatizo la Management na tatizo la Ten hag kukosa talent ID , anaweza kuwa kocha mzuri lakin Hana uwezo wa kung'amua profile za wachezaji
Kuna makocha wanavyo hivyo vyote wengine kimoja wapo , Ole Gunnar ana Talent ID ,
Kama Ten hag angekuwa na Talent ID Kama ole guna , Basi hata kwa bajeti ya £100m mngekuwa na timu Bora
Bahati aliyopata ana Nguvu kuliko waliopita , mwenzie Ole alikuwa mzee wa NDIO BOSS
Magwaya [emoji1787] huyu kumtetea inahitajika nguvu kubwaKwaiyo maguire anakiwasha sio?
Hio kitu ndio inamkera kwelikweli Sheikh Jassim, yeye anaitaka Man Utd kwa mapenzi tu aliyokua nayo kwa club sio kibiashara, hafikirii kabisa faida ya kipesa atakayoipata toka Utd ila anaumiza kichwa kufikiria Utd itafaidika vipi na pesa zake.
Ukiwa na boss kama sheikh Jasim yaani unatamani hata jumapili na siku za sikukuu uwe unaenda tu kazini, maana ukiwa kazini unakua na furaha zaidi kuliko hata ukiwa nyumbani.
Sasa huyu sio press resistantBissaka namkubali sana anaweza kua press resistant mzuri kuliko wachezaji wetu wote, ila kama unamfatilia vizuri kwenye kutoa pasi hua anazingua sana, pasi zake nyingi hua zinaishia kwa opponent's.
Game ya Arsenal na Sporting CP ndio kati ya game zangu bora kabisa kuziona last season uwanja ulijaa wachezaji wa aina hiyo zilikuwa zinapigwa press ila kinachofanyika sasa ni ufundi mtupu hadi nikatamani siku moja nione Man United wakiupiga mpira kama ule.Sasa huyu sio press resistant
Press resistant Ni yule anaweza kufatwa /kupressiwa na maadui hata watatu akatoa pass Moja tu ikawaacha hapo hapo
Ukiona mchezaji ana presiwa halafu anatoa pass kwa adui au mbovu Huyo Ni muoga au passing ability yake Ni mbovu ,
Ndio maana makocha wanaotaka kucheza kuanzia nyuma wanawasajili wachezaji wenye passing ability kubwa tu
Ok nimekupata mkuu hamis77Sasa huyu sio press resistant
Press resistant Ni yule anaweza kufatwa /kupressiwa na maadui hata watatu akatoa pass Moja tu ikawaacha hapo hapo
Ukiona mchezaji ana presiwa halafu anatoa pass kwa adui au mbovu Huyo Ni muoga au passing ability yake Ni mbovu ,
Ndio maana makocha wanaotaka kucheza kuanzia nyuma wanawasajili wachezaji wenye passing ability kubwa tu
Bissaka ndiye beki ambaye hakuna winger dunian anataman kucheza nae ,Ok nimekupata mkuu hamis77
Bissaka tuseme ni Best Tackler kwenye squad yetu au Epl kwa ujumla.
Hua anafanya Tackling za kuogofya ndani ya box na anafanikiwa, ila kwenye Passing accuracy binafsi hua simkubali, mara kibao pasi zake hua zinaishia kwa maadui.
Yule Kocha wa Sporting anajua sana , soon ataenda timu kubwaGame ya Arsenal na Sporting CP ndio kati ya game zangu bora kabisa kuziona last season uwanja ulijaa wachezaji wa aina hiyo zilikuwa zinapigwa press ila kinachofanyika sasa ni ufundi mtupu hadi nikatamani siku moja nione Man United wakiupiga mpira kama ule.
Hii mikopo mi inanikera basi tuZa chinichini sasa Ten Hag anamtaka Joao Felix kwa sana hata kwa mkopo View attachment 2674000
Na hakuna mchezaji wa mkopo anayeoneshaga kiwango cha juuHii mikopo mi inanikera basi tu
EeehSina imani na Onana kuwa kipa namba moja kiukweli labda aje awe chaguo la pili
Huwa namuona kama John Mwanda tu
Tupo wengi. Pale hamna kipa ila watu wabishi kwasababu ya ile fainali tu.Sina imani na Onana kuwa kipa namba moja kiukweli labda aje awe chaguo la pili
Huwa namuona kama John Mwanda tu
Acha ujinga kigezo cha kuwa namba 1 ni kipi?Sina imani na Onana kuwa kipa namba moja kiukweli labda aje awe chaguo la pili
Huwa namuona kama John Mwanda tu
Onana watu wengi wamemjulia fainali ya UCL ila amekuwa bora kitambo tangu akiwa Ajax tunaoangalia Eredivisie Fox Sports tunaelewa japo hatukumuweka akilini wala hatukutegemea siku moja atahusishwa nasi ukizingatia wakati huo tulikuwa addicted na vitu vya De Gea.Tupo wengi. Pale hamna kipa ila watu wabishi kwasababu ya ile fainali tu.
Hata Uzoho aliwahi kucheza mechi yake vizuri sana pale OT na alikuwa ni backup GK wa Omonia.
Onana ukitoa pasi zake zile anakosa vitu vingi vya kumfanya kuwa kipa bora.
Aina noma muda utaongeaOnana watu wengi wamemjulia fainali ya UCL ila amekuwa bora kitambo tangu akiwa Ajax tunaoangalia Eredivisie Fox Sports tunaelewa japo hatukumuweka akilini wala hatukutegemea siku moja atahusishwa nasi ukizingatia wakati huo tulikuwa addicted na vitu vya De Gea.
Mbali na ligi ya England ligi nyingi watu hawafuatilii sana hasa hizo Uholanzi na Italy sasa wangemjua vipi?
Unasema mbali na pasi zake anakosa vitu vingi vya kuwa kipa bora hebu vitaje,najua saves lazima ziwemo ndio kitu cha kwanza hicho anacho pia.Hebu leta vingine hapa ambavyo hana
Hebu nenda kaangalie skills zake ana kila kitu ama mnaona kisa Mwafrika[emoji23]
Kingine haruhusu bao 4-7 hovyo kama kipa wetu bora[emoji23]