Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,726
Wacha tusubiri.Jana mida ya saa 9 mchana kwa saa za Marekani kulikuwa na Annual General Meeting ya Shareholders japo hii haihusiani na timu kuuzwa ila imebeba hatma ya timu.
Yawezekana katika mkutano huo Glazers wameamua waendelee kubaki na kufanya uchaguzi wa bodi ya wakurugenzi ama wametangaza kukubali kupokea bid toka kwa waliyemchagua wao.
Kesho inatoka Annual Report baada ya hapo ndio tutajua mbivu na mbichi so tunaweza kufurahi ama tukalia sana.
Glazer shikilia bomba usikubali kuachia mwanangu wa faida.
Nilisema hili tangu msimu ule tunataka kumsajili Sancho kwa dau la 100, Ole angecheza karata zake vizuri akamhamishia wing ya kulia tu.Huyu mwamba anafaa zaidi kuchezeshwa winga kuliko RB.
Jinga hiloSasa Degea anatuma tuma viemoji huko Twitter vya Nini?
Asepe
Certified bottlersMsimu ujao ni msimu wa mateso, wajiandaeView attachment 2672597
Kwamba bisaka apige DM? Mna utani sio bureNilisema hili tangu msimu ule tunataka kumsajili Sancho kwa dau la 100, Ole angecheza karata zake vizuri akamhamishia wing ya kulia tu.
Bado Ten Hag hajachelewa amhamishe Bissaka kuwa Defensive midfield Dalot wing ya kulia halafu atafute beki wa kulia sasa.
Aachane na kusubiri hela Glazers hawana hela hao.
Bissaka kwenye kikosi chetu ni press resistant kuliko wachezaji wetu wote.Kwamba bisaka apige DM? Mna utani sio bure
Bissaka hata wakiamua kumchezesha CB naamini ataperform vizuri sana na kutusahaulisha maumivu tuliyopitia kutoka kwa Maguire.Nilisema hili tangu msimu ule tunataka kumsajili Sancho kwa dau la 100, Ole angecheza karata zake vizuri akamhamishia wing ya kulia tu.
Bado Ten Hag hajachelewa amhamishe Bissaka kuwa Defensive midfield Dalot wing ya kulia halafu atafute beki wa kulia sasa.
Aachane na kusubiri hela Glazers hawana hela hao.
Kwa namna Bissaka ni mchezaji perfect kwa mahitaji ya Ten Hag ndiyo maana baada ya kuanza kumtumia Dalot akawa second choice.Bissaka hata wakiamua kumchezesha CB naamini ataperform vizuri sana na kutusahaulisha maumivu tuliyopitia kutoka kwa Maguire.
Bissaka namkubali sana anaweza kua press resistant mzuri kuliko wachezaji wetu wote, ila kama unamfatilia vizuri kwenye kutoa pasi hua anazingua sana, pasi zake nyingi hua zinaishia kwa opponent's.Kwa namna Bissaka ni mchezaji perfect kwa mahitaji ya Ten Hag ndiyo maana baada ya kuanza kumtumia Dalot akawa second choice.
Dr.Shika wa UK kaangukia puaView attachment 2672877
Sababu ya bid yake kufeli nilitoa kabla jana.kwa huyu muhuni bora timu iendelee kubaki tu kwenye mikono ya Glazers.
Sijui kwa nini huaga sina imani na matajiri wembamba.
Yaani huyu mzee kila nikimuona akili yangu inaniambia huyu ni kroenke's Pro max.
Mna tatizo la Graza, tatizo la Management na tatizo la Ten hag kukosa talent ID , anaweza kuwa kocha mzuri lakin Hana uwezo wa kung'amua profile za wachezajiNilisema hili tangu msimu ule tunataka kumsajili Sancho kwa dau la 100, Ole angecheza karata zake vizuri akamhamishia wing ya kulia tu.
Bado Ten Hag hajachelewa amhamishe Bissaka kuwa Defensive midfield Dalot wing ya kulia halafu atafute beki wa kulia sasa.
Aachane na kusubiri hela Glazers hawana hela hao.
Mwarabu akipewa timu inabidi amrudishe Ole kwenye system. Yule jamaa wachezaji wote aliowataka wanakiwasha sasa hivi.Mna tatizo la Graza, tatizo la Management na tatizo la Ten hag kukosa talent ID , anaweza kuwa kocha mzuri lakin Hana uwezo wa kung'amua profile za wachezaji
Kuna makocha wanavyo hivyo vyote wengine kimoja wapo , Ole Gunnar ana Talent ID ,
Kama Ten hag angekuwa na Talent ID Kama ole guna , Basi hata kwa bajeti ya £100m mngekuwa na timu Bora
Bahati aliyopata ana Nguvu kuliko waliopita , mwenzie Ole alikuwa mzee wa NDIO BOSS