Hizo za kutangazwa tarehe 27 zilikuwa za uchochoroni ila hizi za Reuters na Bloomberg na Business ni majarida makubwa.Yah kila siku zinatengenezwa story hizi hizi, Kuna nyingine ilikuwa inasema eti tarehe 27 jamaa wanatangazwa
Hata hiyo €100m bado tetesi tu,nyingine zinasema ni €260m ila hatutaweza kuspend zote hadi tuuze wachezajiMashabiki wa United mtuache tu. Tunatafuta furaha kwa jambo lolote lile ilihali tunajua kabisa %50 ni uongo.
Timu haisajili, haiuzi wachezaji. Tunaambiwa budget ni £100m wakati wenzetu wana-spend tu.
Huyu mwamba sijawahi kuelewa ubora wake ni upiDiogo Dalot
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐
man utd |View attachment 2671880View attachment 2671881
Huyu mwamba anafaa zaidi kuchezeshwa winga kuliko RB.Huyu mwamba sijawahi kuelewa ubora wake ni upi
Ndio maana imekuwa na ubabaishaji mwingi , kina Fabrizio waliachana nayo maana ingewapotezea reputation zaoHizo za kutangazwa tarehe 27 zilikuwa za uchochoroni ila hizi za Reuters na Bloomberg na Business ni majarida makubwa.
Hii ishu ni ya kibishara ndio maana hakuna updates za kila siku kama usajili.
Hiyo ni kutokana na Greed ya Glazers yaani walitangaza kuuza timu miezi 8 nyuma wamewazungusha bidders kwa round 5 nzima wakati ishu ilitakiwa itamatike mwezi hata wa 5.Ndio maana imekuwa na ubabaishaji mwingi , kina Fabrizio waliachana nayo maana ingewapotezea reputation zao
Nyie nyumbu mna habari gani humu?
bado awajaamka haoNyie nyumbu mna habari gani humu?View attachment 2672590
Msimu ujao ni msimu wa mateso, wajiandaebado awajaamka hao
na bado lavia yupo njiani nyie hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ( in magu voice)Msimu ujao ni msimu wa mateso, wajiandaeView attachment 2672597
Kwasababu ya huyu kenge ndy wasilete timu? Watu wamecheza na akina Xavi, Iniesta, Busquet Alonso, Viera na Roy Keane ikawe huu uchafu wa kingereza?Kuna watu hamtaleta timu uwanjani msimu ujao View attachment 2672600
Nyie ni nyuki wa mashineni na wake zetu halali.Kuna watu hamtaleta timu uwanjani msimu ujao View attachment 2672600
Jana mida ya saa 9 mchana kwa saa za Marekani kulikuwa na Annual General Meeting ya Shareholders japo hii haihusiani na timu kuuzwa ila imebeba hatma ya timu.Inaogopesha sana ila hamna namna kikombe hiki cha grazzers ikiwezekana kituepuke wallahi.