Na hichi ndio kiinatucost misimu yote unakuta wanaenda nao pre season hao wabovu wakicheza vizuri kidogo eti wanabaki nao,ni ushenzi huu Pre season sio ya kuihesabu ile hata Andreas hugeuka Pirlo.Hii team kazi ipo kwakweli, pre season itaanza utakuta hawajauza wala kununua kwa mambo yanavoenda
Bila nguvu ya umma Glazers watachelewa sana kutoka. Hawaeleweki kabisa.Kesho mashabiki wenye hasira dhidi ya Glazers wanaandamana,ingependeza wafanye na violence kabisa
Kwahiyo hawa jamaa kutoka ni hadi tufanye mapinduzi ?Bila nguvu ya umma Glazers watachelewa sana kutoka. Hawaeleweki kabisa.
Mashabiki round hii hawatapaswa kuingia kwenye huo mtego.Muarabu hawez kuuziwa timu ,Grazzer watapigwa presha kesho ,watatoa pesa za usajili Kama msimu uliopita ilikuwa hivi hivi wakatoa fasta β¬250m kuwatuliza
Itatumika β¬100m atasajiliwa mchezaji mmoja like Antony Santos mtafurahia na Grazzer wataendelea kuimiliki timu
Nipo nimekaa pale , Grazzer hawawezi kuuza timu ,mkilazimisha Sana watamuuzia Chawa wao Sir Jim
De Jong akubaliane na hali tu. Barca wanahitaji DM bila hivyo double pivot inawahusu na sidhani Xavi atakubali Gundogan akae nyuma. Ni Gundogan + Pedri + DM. Pedri (kitoto cha Xavi) atamuweka bench De Jong.Kumekucha Barca wanahitajika kuuza wachezaji kama kawaida na De Jong ni kati yao kama namuona Ten Hag
kuuzwa au kutupwa nyie amna timu znataka magarasa yenuhili panga la wachezaji 13 kuuzwa linanifanya nihisi mwarabu anapewa timu muda si mrefu
Yah njia pekee ya kuwaondoa wachezaji wetu wengi ni kwa kuvunja mikataba zaidi ya hapo yatakuwa ya Phil Joneskuuzwa au kutupwa nyie amna timu znataka magarasa yenu
Samahani mkuu kama ntakukwaza. Naomba kukuuliza wewe ni KE au ME?Uzi wa wanaume View attachment 2670224