Ila imagine mtu kamuacha gundogan ila sisi maflop pale tunabembelezana tu [emoji2] yani sitashangaa msimu ujao wakarudi wote tusiuze wala kuacha hata mmoja.[emoji23]City kabeba treble ila mpaka sasa kashasajiri nafikiri wawili up to now, sisi waomba mungu kila siku tetesi tena za huyo flop wakingereza mount, another sancho[emoji23][emoji23]
Kweli glazers wametuweza ila waingereza ndio wakome kuuza timu zao kwa wamarekani,
Kwa miaka ya hivi karibuni sioni timu ya kumzuia city asibebe mataji pale england, timu yenye jeuri ya kumuacha mchezaji aina ya Gundogan
Na sasa nasikia city washapeleka offer kwa declan rice [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nacheka utazani mazuri
Huyu dogo anaweza kwenda kukiwasha huko tukamtaka tena kwa 100mil πBorussia Dortmund are moving closer to sign #MUFCβs Anthony Elanga.
#Ekremkonur
#ππ§πͺπ¨π©πππππ§π€πππ¨π¨πππ[emoji1179][emoji3541]
#ππ£ππ©ππππ€π§π©πππππ£π¨[emoji2522]
#πππππ ππ ππ¨π¨ππ’ππ£πΌπ©πππ£ππ©π[emoji837]
#ππ‘ππ―ππ§πππ[emoji469]
#ππππ[emoji123][emoji41]
man utd |
Kabisa yaani timu inajiuliza ibaki eti na De Gea,Maguire,Martial,Sancho,Fred na Scott huku kuna takataka Antony ndio ipambanie ubingwa dah.City kabeba treble ila mpaka sasa kashasajiri nafikiri wawili up to now, sisi waomba mungu kila siku tetesi tena za huyo flop wakingereza mount, another sancho[emoji23][emoji23]
Kweli glazers wametuweza ila waingereza ndio wakome kuuza timu zao kwa wamarekani,
Kwa miaka ya hivi karibuni sioni timu ya kumzuia city asibebe mataji pale england, timu yenye jeuri ya kumuacha mchezaji aina ya Gundogan
Na sasa nasikia city washapeleka offer kwa declan rice [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nacheka utazani mazuri
Hamna dalili ya kuuza mtu..Ila imagine mtu kamuacha gundogan ila sisi maflop pale tunabembelezana tu [emoji2] yani sitashangaa msimu ujao wakarudi wote tusiuze wala kuacha hata mmoja.[emoji23]
Sasa watu kama Martial na Maguire wapewe heshima ipi[emoji23]Sisi mashabiki na wapenzi wa manchester united ndio tunaanza kwanza kuwashushia heshima wachezaji wetu.
Ila imagine mtu kamuacha gundogan ila sisi maflop pale tunabembelezana tu [emoji2] yani sitashangaa msimu ujao wakarudi wote tusiuze wala kuacha hata mmoja.[emoji23]
Hii team kazi ipo kwakweli [emoji119][emoji23], pre season itaanza utakuta hawajauza wala kununua kwa mambo yanavoenda [emoji23]
Huyo anamaliza na Chelsea sasa hivi[emoji860] Moises Caicedo in 2021: βMy dream is to play for #MUFC, Antonio Valencia is an example to follow.β [emoji102]
#ππ§πͺπ¨π©πππππ§π€πππ¨π¨πππ[emoji1179][emoji3541]
#ππ£ππ©ππππ€π§π©πππππ£π¨[emoji2522]
#πππππ ππ ππ¨π¨ππ’ππ£πΌπ©πππ£ππ©π[emoji837]
#ππ‘ππ―ππ§πππ[emoji469]
#ππππ[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2668157View attachment 2668156
Fred anauzwa 20M halafu Maguire anauzwa 40M hii dunia kweli ina maajabu yakeπππPlayers who could leave Manchester United this summer
#ππ§πͺπ¨π©πππππ§π€πππ¨π¨πππ[emoji1179][emoji3541]
#ππ£ππ©ππππ€π§π©πππππ£π¨[emoji2522]
#πππππ ππ ππ¨π¨ππ’ππ£πΌπ©πππ£ππ©π[emoji837]
#ππ‘ππ―ππ§πππ[emoji469]
#ππππ[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2669296
Beki la Dunia nzimaFred anauzwa 20M halafu Maguire anauzwa 40M hii dunia kweli ina maajabu yake[emoji23][emoji23][emoji23]
Na hichi ndio kiinatucost misimu yote unakuta wanaenda nao pre season hao wabovu wakicheza vizuri kidogo eti wanabaki nao,ni ushenzi huu Pre season sio ya kuihesabu ile hata Andreas hugeuka Pirlo.Hii team kazi ipo kwakweli [emoji119][emoji23], pre season itaanza utakuta hawajauza wala kununua kwa mambo yanavoenda [emoji23]