Chelsea wala hawana presha ya kumuuza Mount maana tayari washauza wachezaji sita ni Man ndo yenye shida na Mount na mzigo kusajiri hamnaWakaziwe hivi hivi wanatakiwa hadi tarehe 30 wawe wameuza wachezaji kadhaa so wiki ijayo wataikubali tu
Chelsea wala hawalazimishi Mount kubaki ila fikeni bei iliyotaja mbona wakina sancho na Antony mlinunua £100mTutampitia hata mwakani acheni kumlazimisha hataki kucheza timu hata Europa haipo.
Mbona wengine mmewauza kirahisi na mliwanunua kwa bei chafu ila yeye mnakaza tena ni academy player.
Cheltako bwana ama mnataka awasadie hata kushika top 7 msimu ujao
Wachezaji mliouza wote mliwanunua, so kwenye accounts book ni hasara.Chelsea wala hawana presha ya kumuuza Mount maana tayari washauza wachezaji sita ni Man ndo yenye shida na Mount na mzigo kusajiri hamna
Ww uza wachezaji wako uliokua nao kama utapata hata hio faida kibaya zaidi hata ofa huzipatiWachezaji mliouza wote mliwanunua, so kwenye accounts book ni hasara.
Mount ni full profit, hamkumnunua.
Cheki mido hao...
View attachment 2667286
A serious project.Cheki mido hao...
View attachment 2667286
Ndio maana wanatamna UCL kama yao,sisi kuja kufikia huko miaka 10 mbeleCheki mido hao...
View attachment 2667286
Chelsea sio kwamba inamuitaji Mount unakosea chelsea wamewasoma nyinyi ni wazee wakupigwa hela wanajua fika nyinyi ndio mnashida naeTutampitia hata mwakani acheni kumlazimisha hataki kucheza timu hata Europa haipo.
Mbona wengine mmewauza kirahisi na mliwanunua kwa bei chafu ila yeye mnakaza tena ni academy player.
Cheltako bwana ama mnataka awasadie hata kushika top 7 msimu ujao
Nyinyi wachezaji wenu hawauziki tofauti na wa kwetu mna magalasa wengiChelsea wanavyotukazia kwa Mount wanajikuta ndio Ajax basi
Waombe hizo sajili zao zifanye vizuri maana hiyo mikataba ya miaka 8 waliyowapa wachezaji wakifeli stress zake zitageuka kama za akina Jones mtu ana mkataba mrefu kaflop huku hakuna timu inayomtaka.
Chelsea wala hawana presha ya kumuuza Mount maana tayari washauza wachezaji sita ni Man ndo yenye shida na Mount na mzigo kusajiri hamna
Hongera kwa kuchukua ubingwa
Ww uza wachezaji wako uliokua nao kama utapata hata hio faida kibaya zaidi hata ofa huzipati
Fikeni bei mzee muache maneno Mount atawapa faida kubwa sana mkimsajiri hata hiyo hela italipa kwenu ni mchezaji mzuri pia umri mdogo
Yap Chelsea wanacheza na historia ya manjesta kununua wachezaji kwa Bei za ajabuChelsea sio kwamba inamuitaji Mount unakosea chelsea wamewasoma nyinyi ni wazee wakupigwa hela wanajua fika nyinyi ndio mnashida nae
Hii timu matajiri hawaioni siwasikii wakisogeza puaCheki mido hao...
View attachment 2667286
Walishatengeneza EGO sasa kila mtu anaogopa kuvuruga EGO yao...shida kubwa ya vilabu vya EPL vikimilikiwa na mashabiki vitafanya vibaya kwasababu ya ujuaji.Hii timu matajiri hawaioni siwasikii wakisogeza pua
Timu inamilikiwa na mashabiki na kila kitu kinaenda sawa
Hii timu matajiri hawaioni siwasikii wakisogeza pua
Timu inamilikiwa na mashabiki na kila kitu kinaenda sawa