Haaland kwa wingers za Rashford na Antony ni kutaka kumtukana kijana wa watu tu. Wachezaji hata kupiga cross hawawezi halafu uwaletee goal poacher!!Strikers wachache kama tunataka striker wa maana tumchukue haaland. Huyo harry tutamkataa ndani ya muda mfupi
Nilitaka kumwonesha picha jamaa kwamba harry akiletwa bado hata perform kwa sababu wanaomzunguka na kumlisha mipira nfio haohao kina masho ford na sanvho mzee wa kutetemeka miguu asijue lipi aamue pindi awapo golini.Haaland kwa wingers za Rashford na Antony ni kutaka kumtukana kijana wa watu tu. Wachezaji hata kupiga cross hawawezi halafu uwaletee goal poacher!!
Pia sioni ikiwezekana Haaland kuja United kwa namna yoyote ile.
Kabisa,hata Weghorst sio mbovu kihivyo watu wanavyodhani ni wanaomzunguka wabinafsi,hata Ronaldo alipoteana kisa hicho.Haaland kwa wingers za Rashford na Antony ni kutaka kumtukana kijana wa watu tu. Wachezaji hata kupiga cross hawawezi halafu uwaletee goal poacher!!
Pia sioni ikiwezekana Haaland kuja United kwa namna yoyote ile.
But hapa nahisi kuna buyback clauseHuu ni uamuzi wa kipumbavu kuwahi kuushuhudia.
Tutakuja kujutia uamuzi huu,
Inshaallah
Mungu yupo, aendelee kuniweka hai
View attachment 2663512
Kuna kenge anaitwa Richard Arnold nae ni wa kufyekwa nafuu ya Woodward kuliko yule mpuuziKipara na murtough ni wapumbavu
Fans wa UK wanakwama sana sijui zile violence walizofanyaga kwa Woodward now wanayumba wapi dah!Moja ya makosa makubwa yaliyowahi kufanyika OT ni kuuza Team kwa Glazers.
Hii timu Kuna shida kubwa kuanzia kwa hao GlazersGavin Bazunu - Β£12m
Romeo Lavia - Β£12m
Darko Gyabi - Β£5m
Manchester City sold these three players, who at that time didnβt have a single Premier League appearance between them, for a total of Β£29m.
We have just sold Zidane Iqbal for Β£855k.
Haya majamaa hayataki kuachia team πMoja ya makosa makubwa yaliyowahi kufanyika OT ni kuuza Team kwa Glazers.
Huu ni uamuzi wa kipumbavu kuwahi kuushuhudia.
Tutakuja kujutia uamuzi huu,
Inshaallah
Mungu yupo, aendelee kuniweka hai
View attachment 2663512