Manchester United (Red Devils) | Special Thread

united kutoa pauni milioni 45 kwa ajili ya PICKFORD
Pickford naye ni stopper tu.sioni la maana kwake kumshinda DDG. Inawezekana Onana tungempata kwa bei chini ya hapo ila kinachotumaliza Utaifa kwanza.
Kama hili ni chaguo la 10Hag,kuna mawili: Pickford anakuja kuwa namba 2 wetu au tunachangamsha genge wakati Glazzers wakiendelea na mchezo wao juu ya uuzwaji klabu.
 
Ten Hag ni kocha mzuri nnayemuamini kuliko wote waliopita hasa katika kudeal na wachezaji & nidhamu zao.

Angepata wachezaji anaowahitaji hadi katikati ya July tungeweza kufurahia matunda yake but kwa sasa naona kazi yake inaweza kuwa ngumu zaidi ya msimu uliopita na kwa udhaifu wa kikosi chetu hatoboi.


Ningekuwa mtu wake wa karibu ningemshauri kama hadi July mwishoni hajaletewa watu at least wanne wa kuanza nao ni bora ajiuzulu kuliko kujichafulia CV kama watangulizi wake.

Makocha walikuja wana mvi chache ila waliondoka zimejaa kichwani,kufanya kazi ile timu ni zaidi ya stress yaani imagine hadi sasa hajui nini muelekeo wa timu.
 
So Saudi Arabia invest billions into Clearlake Capital, the majority owner of Chelsea.

Then Chelsea spend £650million on transfers, putting them in the red with FFP.

Then Chelsea sell all of their deadwood to Saudi Arabia at extortionate prices to avoid FFP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…