Manchester United (Red Devils) | Special Thread

️ | TRANSFERS: United out of the race for Arsenal target.

: The Daily Mail’s Mike Keegan (@MikeKeegan_DM) has confirmed that Arsenal are set to sign West Ham midfielder Declan Rice with Man United out of the race.

Keegan: “But it appears inevitable that West Ham's brilliant 24-year-old will join a direct rival (Arsenal) for around £100m.”

The Gunners are on the verge of completing a club-record deal for Rice with all sources stating that Arsenal will sign the sensational midfielder this summer.
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
#AFC #Transfers #WHUFC #MUFC #Rice
 
Hivi shida ya De Gea ni ipi haswa?
Watu wasiojua mpira ndio wanamlaumu De gea ila kwangu mimi bado De gea ni kipa bora ndio maana kashinda golden gloves. Shida kubwa ya utd kwa sasa ni straiker, beki wa kati na kiungo, mastraiker hawafungi ndio maana tukifungwa na kupoteza mechi watu wanaona De gea mbaya. Kama ingekuwa De gea anafungwa na straiker zetu zinafunga na kushinda mechi wala De gea asingeonekana mbovu. Kwa misako tunayofanyiwaga na vitimu vya hovyo hovyo kama sio ubora wa De gea sijui tungekuwa wapi. Binafsi naamini ukuwauliza maforward wa timu pinzani pale England kwamba wakutajie kipa bora, sujui kama De gea atakosekana top 3.
 
De gea ni stopper mzuri sana hilo hatukatai lakini uwezo wake wa mpira ukiwa mguuni ni tatizo sanaa na kwa mpira anaocheza 10hag wa kuanzia mpira nyuma kwa pasi fupi De gea ni kichomi.

Mechi nyingi sana mpira ukiwa mguuni hajui apeleke wapi au anatetemeka anampa adui tumefungwa goli kadhaa kwa ajili ya kushindwa kupiga pasi sahihi anapasia wapinzani.

Sasa De gea akikaa na magwaya ndo Mungu wangu zinakua nyingi.
 
Kwa hiyo ukifunga goli 7 huku kipa anachomesha na miguu yake iliyopinda so anabaki kuwa bora.

Cleansheets ni takwimu za uongo kipa anaweza kuzipata bila hata kupigiwa hata shuti moja langoni.

Kaangalie ile game ya juzi hapa Onana anavyocheza,ukiwa na footwork nzuri sometimes unaweza hata kuwafungua wapinzani kirahisi kwa pasi za maana kwenda mbele fuatilia hata Allison anavyosaidia kutengeneza moves za mabao.

Sasa huyu wetu huwa anapiga mpira kama mchezo wa sadakalawe yaani mwenye kupata apate wa kukosa akose,anapiga bila malengo bora lienda sometimes anachomesha sana.

Kuruhusu goli kipa kawaida kutokana na team errors ila kuna zile individuals errors zinamhusu hasa yeye na Pickford ndio manguli hapa.

De Gea sio kipa mbaya ila kwa mfumo wa Ten Hag ni kikwazo tayari,makocha wanaocheza soka la kitabuni wanahitaji wachezaji wanaoendana na falsafa zao kila position.
 
Katika misimu miwili tu De Gea kafungwa goli 100 huku kwenye ligi akiwa amepigwa kama goli 97 hivi misimu miwili tu.

Ubora wa De Gea uko wapi ?
 
Katika misimu 11 aliyokaa United ni misimu miwili tu amekuwa kwenye kiwango cha juu.
2012/2013 na 2017/2018.
Misimu mitano alikuwa na afadhali 2015/2016, 2019/2020, 2020/2021, 2013/2014 na 2022/2023.
 
Inter Ni timu ya kucheza kwa kuzuia ,lakini ona Onana alichokuwa anafanya ,Hadi wachezaji wa city wanaogopa kumfata ,maana passi zake zilikuwa zinafungua mistari miwili had mitatu ya city

Imagine Onana kwenye timu inayocheza Flowing football , unakuwa na uhakika wakushinda mechi nyingi Sana

Makipa Kama Onana anakupa option muanzie chini ,timu pinzan wakipress tu wameisha maana structure yao ya kuzuia inakuwa imevurugika .

Wasipo press ,wanakuwa forced kuzuia


Takwimu zinasema Manchester ni ya 17 au 18 kwa timu zilizocheza Sana deep line ,hiyo Ni sababu ya Degea .
 
EXCL: Manchester United has officially been sold to Qatar's Sheikh Jassim. The tranfer budget for the club is set to rise from £150M to £450M. Renovation of the training ground will commence immediately.



Natest mitambo tu
Mambo yakienda sawa kwa mwarabu basi msimu ujao Asaniwali atateseka sana.
Sheikh ametuhakikishia akikabidhiwa timu tu Mbape, Saka, Ordegard, Gundogan na De Bryune lazima watatu kati ya hao watue kwenye matofali ya kuchoma.
Unaambiwa mpaka leo Ordegard hataki kusaini mkataba Asenyo anasikilizia kwanza Sheikh Jassim kama atapewa timu.
 
Shida ya manjesta haijawahi kuwa pesa


Shida ya manjesta Ni management


Mpaka kesho naamini Ole alikuwa na mwenendo mzuri ila mlishindwa kumsikiliza mkaanza kumvurugia mipango yake mkamletea CR7 na ndipo akapoteana

Ole alimtaka Diaz, Halland, Felix , Bruno Fernandez

Ole ndiye aliwaamini vijana Kama kina Greenwood , Dialo ,n.k


Hata mkimpata muarabu ,Kama management itakuwa hii au Kama ya psg bado mtabaki hapo hapo
 
Tatizo la manjesta Ni Management na scouting mbovu , Grazzer wanakula faida tu

Niambie Ni mchezaji gani wa Bei gani ambaye Hao waarabu watamnunua ambaye Grazzer wameshindwa kumnunua?

Mlimkosa Jude Bellingham ,Halland kwa Bei za £30m na £18m kwa kutomsikiliza Ole


Antony €95M + €5m = €100m
Sancho €85m
Maguire €67m+€23 = €80m
Casemiro €70m + €10m = €80m
Bruno €55m + €25 = €80m
Bissaka €62m
Fred €60m
Martial €55m + €20m= 60m
Martinez €55m
Varane €41m
THE RETURN OF Cr7



I heard their board haven't been backing managers
 
Katika misimu miwili tu De Gea kafungwa goli 100 huku kwenye ligi akiwa amepigwa kama goli 97 hivi misimu miwili tu.

Ubora wa De Gea uko wapi ?
Wewe unabeki Maguire na Lendelof na Dalot, kiungo Fred na Mactominey ulitegeme afanyaje? Kifupi timu yetu ni mbovu kila idara kipa anasingiziwa tu, De gea kaibeba sana timu siwezi mchukulia poa hata kidogo na ninarudia kusema kama ingekuwa hatuna De gea kwa hii timu ilivyokosa muunganiko sasa hivi tungemaliza nafasi ya 15 kwenye ligi. Nafasi tuliyopata sio kwamba tulikuwa na forward bora sana au kiungo bora bali ni kipa bora.
 
Una fact kwa upande fulani ,Kama manjesta kwenye kufunga ilikuwa butu ,means mngekuwa na kipa ambaye ikipigwa imo ,Basi mngekuwa nafasi 12-15

Mfano rahisi Ni Chelsea ,walikuwa hawafungi magoli ya kutosha halafu kipa wao Kepa huwa Ni mbovu kwenye long shots , wamejikuta 12-15.

Mimi naamini pamoja na Degea na kukosa footwork ,mnatakiwa kupata kipa mwingine mwenye footwork nzuri na shot stopping angalau nzuri kiasi, mfano Yule kipa wa Ac Milan, Onana sio mbaya Sana kwenye shot stopping


Degea Ni sehemu tu ya matatizo
 
Haya mambo ya kipa kua mzuri akiwa na mpira mguuni sio lazima kila timu iwe ivyo, mbona miaka mitatu nyuma degea,alikua akiimbwa sana, nyie bakini ivyo ivyo tu sio lazima kila timu ibadilike
 
Ole sikuwahi kumchukia ndiye aliyetufanya tuanze kuitazama tena timu kwa matumaini.

Weakness zake zilikuwa kwenye squad rotation anakwama tu napo alikuwa anabadilika taratibu.

2021/21 tulianza vyema huku Greenwood akiwa kwenye kiwango bora ila mabosi wanaamia kumleta mchezaji asiye kwenye mipango ya kocha.

Hapo wakawa wamemsaliti Cavani ambaye aliahidiwa kuongoza safu ya ushambuliaji hadi akawa anafake majeruhi kila ikifika international break ndio anakuwa mzima.

Tayari CR7 akaanza kugombana na watoto akina Greenwood hadi anawasema kimafumbo kwa media eti enzi zake akiwa mdogo alikuwa anasikiliza wakubwa.

Dogo akawa anacheza kibinafsi uwanjani akawa frustrated timu ikaharibika dressing room mgawanyiko hasa suala la unahonda na kiongozi wa dressing room.

In short nimekuwa shabiki wa Ronaldo tangu utotoni ila nilijikuta simpendi tena nilikuwa najua matatizo mengi kayaleta yeye hasa kufelisha project ya Ole.

Uongozi wa kijinga ule hadi Ralf alijaribu kuwaponda na Ronaldo wao wakamkata kabla hata hajawa mshauri wa timu.

Ikitokea Sheikh Jassim kapata timu hii kule juu kunatakiwa kufumuliwa kwa wale wanaopeana kazi kwa mchongo akina Richard Arnold.

Nadhani mtu ambaye United wanapaswa kumtafuta tena kuwaundia mfumo mzuri kiutawala ni Ralf Rangnick anaujua mpira sana.
 
Mount £40 wameikataa mbaya zaidi Ben10Hag anakomalia kuongeza dau aiseee apo wanataka £60+ na Man U watatoa tu..Nauhakika mpaka dirisha linafungwa Ben10 hatofanya sajili za maana zaidi ya hao kina Mount na drid atatupiga pre season nyingi tu kwa kuanzia..
 
Haya mambo ya kipa kua mzuri akiwa na mpira mguuni sio lazima kila timu iwe ivyo, mbona miaka mitatu nyuma degea,alikua akiimbwa sana, nyie bakini ivyo ivyo tu sio lazima kila timu ibadilike
Kama hauoni tatizo upo nyuma sana kuhusu mpira umebadilika sana...ww huoni de gea ameshinda golden gloves lakn anaongelewa kama kipa mbovu...hujiulizi kwann anaongelewa na kocha ameshatoa kauli tata kuhusu nafasi yake
 
Kama hauoni tatizo upo nyuma sana kuhusu mpira umebadilika sana...ww huoni de gea ameshinda golden gloves lakn anaongelewa kama kipa mbovu...hujiulizi kwann anaongelewa na kocha ameshatoa kauli tata kuhusu nafasi yake
Nachosema sio kila timu iwe na kipa aina ya Ramsdale,Onana,Steele, Ederson na Becca.. Nyie man u Bakini ivyo ivyo tu na degea mbona ni kipa mzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…