Oya ,Bado Sir Jim anaweza kushinda tendaSasa hapo tusajili kwa umakini
1. Kane au osmhen Β£130
2. Caicendo/ de jong Β£80
3. Kim Β£50
4. Raya Β£40
5. Hojlund backup striker Β£50
6. Winger mitoma/ chiesa/ au yoyote mkali Β£80
7. Mount 50
8. Greenwood, Amad dialo.
TOTAL Β£480 million......inawezekana plus budget ni Β£450 million
Taarifa za Sasa zinasema Bado ngoma mbichi ,hata Sir Jim anaweza kutangazwaBado kutangazwa tu mkuu, ila kuhusu Dau sheikh Jassim yeye ndio mshindi hata BaBa yake mzazi Jassim kadhihilisha hilo Jana kwenye interview.
Hivyo ni swala la muda tu kama ni mbuzi kuta unamwandaa.
#πππππ ππ ππ¨π¨ππ’ππ£πΌπ©πππ£ππ©π.
Ongezea Sancho, Anthony , Varane, wanabisaka,Naamini maboss wapya budget na signing kubwa lazima wazifanye.... jamaa wako in love na success ya Carrington.....walete new signing 7 mpk 8.....kisha wafukuze MAGUIRE, fred, elanga, martial, telles, etc wasafishe
Habari nzuri sanaMan Utd appointed Matt Hargreaves as their new director of football negotiations earlier this year and he has begun work at the club this week..
[MEN]
#ππ§πͺπ¨π©πππππ§π€πππ¨π¨πππ
#ππ£ππ©ππππ€π§π©πππππ£π¨
#πππππ ππ ππ¨π¨ππ’ππ£πΌπ©πππ£ππ©π
#ππ‘ππ―ππ§πππ
#ππππ
man utd |View attachment 2656206
Bwege we tuachie kocha wetuOngezea Sancho, Anthony , Varane, wanabisaka,
Na 7HAG