Mpira half time man tumelala 1 kwa 0,lets hope kocha atafanya mabadiliko kwa kumtoa kiungo kimoja na kumleta kagawa aje afanye dictation ya match,something that man u palyers miss,hakuna mtu wa kupiga pasi fupi fupi na kufungua vyumba
hapo ndipo nitakapopingana nao na nitaendelea kupingana nao baadhi ya viungo wa kiingereza man u inabidi waondoke,fletcher carric au cleverey mmoja wao need to be sold,kama umeangalia mechi vizuri utaona carric na cleverly wote hawajui majukumu yao not to mention galasa smalling