Hakuna kwenye midfield ni Bruno na Casemiro tu ndiyo wenye nafuu.
Safu ya ushambuliaji huko ndiyo hovyo kabisa.
Kwenye defence Martinez, Shaw, Lindelof na Bissaka wanastahili kuwa Man United, Varane ni mzuri ila kwa injury rekodi aliyonayo unahitaji mtu atakayekuwa fit msimu mzima kuziba hii changamoto
Garry Neville akili imeanza kumkaa sawa , alikuwa anamtetea Sana Degea
Baada ya kumuona Onana juzi, akili imemkaa sawa
Bado kwa Anthony kila mtu atakiri hapa tulipigwa
Gary Neville:
"You have to start with a goalscorer and a goalkeeper. Without those two positions, you are in big trouble. Manchester United are struggling in attack, but it's time to find a top goalkeeper. "
Baada ya performance ya kutisha ya Onana, jamaa anasogea na mpira Kama Kiungo ,anapiga pass kwa miguu yote ,ilifika muda hakuna mchezaji wa city anayemsogelea
Sasa hivi kila mtu anamuona Degea Kama Ally Salim tu

Tottenham Hotspur are said to be considering making an attempt to sign Jadon Sancho this summer. They are willing to bid not more than Β£50 million for the Englishman.