Kwa hiyo Enzo unamuona ni mchezaji wa kawaida?Kitambo huyu timu za EPL zimemfatilia zikaachana nae , bado kwa intensity ya EPL hawezi kwasasa , hata Enzo zilipigwa kelele Sana, Kiko wapi
Ni vile Ureno kila mchezaji lazima awe na Release clause , akiwika msimu mmoja ,wakurupukaji ndio watapigwa
Kwa sisi wahafidhina na wachambuz nguli tunaamini Grazzer family sio tatizo Bali Wana mapungufu Kama binadamu wengine
Ralf ragnick aliwaambia board ya manjesta iwasajili Enzo fernandez & alvarez wote kwa pamoja bei yao ilikuwa ni £30 ,aliwashauri kumnunua Luis Diaz hawakumsikiliza.
Ole gunar aliwaomba board ya man United wamsajili erling haaland alikuwa anapatikana kwa £4 tu
Pia sosha alimtaka jude kwa £20 alivyokuwa birmingham
View attachment 2652774
Jamaa anajiamini sana anatuliza pressure ya timu, tofauti na De gea mwoga kweli kweli.Daahh Onana hyu golikipa mzur sana
Umeongea kiungwana sana record zipo zivunjwe[emoji1474]Ni siku ya huzuni sana kwa kweli. Na sisi huku tunaongeza mkataba kwa de gea na dalot na tunataka tuje tupiganie ubingwa anyway record zimewekwa ili zivunjwe.
Utaahira ni kama mzigo wa mavi hivi ndy umeandika Nini hiki?Mwambie rashford itamghalimu Sana kuchukua hiki chuma [emoji23]View attachment 2653545
Badala ya kuwaponda Arsenane ambao hawajawahi kuchukua ubingwa wa UCL unaiponda United? Wewe ni taahira serious, mponde taahira mwenzako Hamisi ambae hatashuhudia uchafu wake ukibeba UCLMwambie rashford itamghalimu Sana kuchukua hiki chuma [emoji23]View attachment 2653545
Angekuwa muingereza angepewa hiyo title.Kwahiyo baada ya ushindi wa Jana usiku Pep saivi ataitwa Sir Pep??
Nan kasema huo upuuziKwahiyo baada ya ushindi wa Jana usiku Pep saivi ataitwa Sir Pep??