Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Uliona ile video ya utabiri wa yai?

Utabiri ukitimia ita-trend sana maana kuanzia QF ilikuwa sahihi.
Kuna mdau m1 ndo ananitishia nayo iyo video anasema hamtoboi.

Lkn nikwambie tu Safar hii city kutobubeba Uefa lbd ndege yetu ipate ajali wkt tunaelekea Instabul.. Vinginevyo inter atajuta kwnn hata alifika final iyo jmos.

Ukitak ujue city wamepania angalia marudio game ya Madrid dkk 25 za kwnz utajua hawa vijana safar hii they mean business
 
Msako ambao inter tutamtafuta nao iyo jmos kiukwl najarb kupata picha nakosa picha kbs.
 
Kumuuza AWB..

Utakuwa ujinga wa karne at this point
Inategemea unamuuza AWB unamleta nani. Mchezaji kama Timber ana uwezo wa kucheza CB, RB & IFB.

Casemiro next season tukitumia double 8s atapata ugumu kucheza kama lone DM. Kwenye midfield pia hatuna ball carrier.
 
Mimi nataka mpigwe tu ila najua ni ngumu sana Inter kupata hiyo nafasi.
 
Atakachokuja kuandika baadae utakuta ni utumbo nusu kilo.... Kuna muda akili zinamuingia kuna muda zinamtoka
 
Hapa ndo shida inapoanzia..

Too many useless players in the squad.
 
🚨🇶🇦 | 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: 𝐐𝐚𝐭𝐚𝐫𝐢 𝐟𝐢𝐧𝐚𝐥 𝐛𝐢𝐝

Sheikh Jassim amewasilisha ofa ya tano ya kutaka kuinunua Manchester United ikiwa na dalili wazi: ichukue au iache 🔴⚠️

◉ Hakutakuwa na ofa tena kutoka kwa kikundi cha Qatari — baada ya Ijumaa hii, Jassim HATAshiriki tena mchakato huo.

◉ Hii pia ni kutokana na dirisha la uhamisho kuanza kwani Sheikh Jassim alitaka kuwa tayari kuwekeza kwenye timu hivi karibuni.

◉ Kama ilivyokuwa tangu siku ya kwanza, zabuni ni ya 100% ya Klabu, ni pesa taslimu na rahisi katika shughuli, ingeondoa madeni yote ya Klabu kabisa, na ina ufadhili tofauti wa ziada kwa ajili ya mchezaji anayeendelea wa Klabu, miundombinu na mahitaji mengine ya uwekezaji.

◉ Ni juu ya Glazers huku mazungumzo yakiendelea pia na kundi la INEOS, Sir Jim Ratcliffe anasisitiza kuinunua Man United.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…