Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United lead the race to sign Adrien Rabiot on a free transfer.

[Gazzetta]
#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ[emoji1179][emoji3541]
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨[emoji2522]
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™[emoji469]
#π™‚π™‚π™ˆπ™[emoji123][emoji41]

man utd |
 
A huge clearout looks to be underway at Manchester United.

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ[emoji1179][emoji3541]
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨[emoji2522]
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™[emoji469]
#π™‚π™‚π™ˆπ™[emoji123][emoji41]

man utd |
 
[emoji599] David De Gea has already agreed terms on a new contract but the deal it yet to be signed off by Manchester United.

What unfolded at Wembley could change things and at the very least De Gea understands his no.1 status is no longer guaranteed.

(Source: @MailSport)
#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ[emoji1179][emoji3541]
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨[emoji2522]
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™[emoji469]
#π™‚π™‚π™ˆπ™[emoji123][emoji41]

man utd |
 
Marcus Rashford named in the Europa League Team of the Season

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ[emoji1179][emoji3541]
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨[emoji2522]
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™[emoji469]
#π™‚π™‚π™ˆπ™[emoji123][emoji41]

man utd |
 
#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ[emoji1179][emoji3541]
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨[emoji2522]
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™[emoji469]
#π™‚π™‚π™ˆπ™[emoji123][emoji41]

man utd |
 
yaan kuna muda unawazaaaa, unagundua kumbe na wazungu nao ni mazuzu tu.
 
Ndugu zngu allypipi Flano poleen kwa kichapo tulichowapa najua mnatuombea njaa game ya Jmos lkn hakuna namna Record yenu ya treble mliyokua mnalingia ss inaenda kua mwsh.

The Noise Neighbors are going places now .. #TheCityzens[emoji838]
wewe ni ex soldier wa man u.
 
Kane gani kwanza huyo mnaye msemea humu.maana kane wa Tottenham ana enda zake madrid.nyumbu labda mpewe kane wa WWE.mk8 jitahidi sana mta pata mitrovic wa Fulham ndo size zenu
baada ya kuvuta bangi.
 
Kufanya maamuzi sahihi juu ya kikosi chake.
Kituko zaidi tulikishuhudia kwenye sakata la jesse lingard.

Alipokwenda west ham alicheza vizuri sana mpaka the hammers wakaonyesha nia ya kumsajili moja kwa moja lakini cha kustaajabisha uongozi wa manchester united ukakataa mpango wa kumuuza.

Pia newcastle united walionyesha nia ya kumsajili kwa mkopo wenye malipo ya paundi millioni 9 mwezi January lakini klabu ikakataa.

Miezi 6 baade tulishuhudia jesse lingard akiondoka bure.
 
Hapo nilikuwa namuelezea kuhusu usajili wa msimu huu. Tunawahitaji hao wakina Caicedo, Kane, Mount, Min-Jae, Costa ila tatizo ni pesa.

Β£200m inapatikana ila bei za wachezaji tunaowataka ni ghali sana.
 
Hii timu ina upuuzi mwingi. Ni muda sasa tuwe na roho mbaya na maamuzi magumu kama Real Madrid.

Wachezaji kama Martial, Fred, McTominay, Maguire, Henderson siyo wa kufikiria mara mbili. Tuna watu wengi ambao hawatusaidii kitu.
 
1st phase midfielder maana yake tupate mtu kama De Jong, jambo ambalo ni gumu kutokea.

Badala yake ni bora EtH auze Bissaka asajili Timber kuja kucheza inverted full back.
 
Ndugu zngu allypipi Flano poleen kwa kichapo tulichowapa najua mnatuombea njaa game ya Jmos lkn hakuna namna Record yenu ya treble mliyokua mnalingia ss inaenda kua mwsh.

The Noise Neighbors are going places now .. #TheCityzens[emoji838]
Uliona ile video ya utabiri wa yai? πŸ˜‚
Utabiri ukitimia ita-trend sana maana kuanzia QF ilikuwa sahihi.
 
Niliwahi kusema Chelsea Ni matapeli tu

[emoji599] Chelsea don’t want to sit down negotiate for Mount, it’s Β£70m or NOTHING. (@FabrizioRomano)

Hiyo €80m Ni sawa na Β£75m , wanajua manjesta ofa yao ya Β£55m akijipigapiga atafika kwenye mtego wa Β£70m amount wanayoitaka
 
Mkuu usifananishe city na utd kwenye market. Utd na Madrid kinachowaponza kwenye usajili ni brand zao. Leo hii City au Liver ikimtaka mchezaji bei yake inakuwa ya dagaa, utd au Madrid akitia mguu kwa mchezaji huyo huyo ghafla bei yake inageuka kuwa ya Sangara.
 
Mimi Kama mchambuzi nguli kwa Mara ya kwanza nimeiona manjesta vs Mancity ikifanya buildup kutoka nyuma Mara kadhaa na inafanikiwa

Kwasisi wahafidhina tunaoangalia positive na negative , hii imetutusha kidogo

Kama Mtasajili yule Kim ,acheze na Martinez na kipa Kama Onana ,au David Raya , mtaokota points nyingi

Maana manjesta wakifika eneo la Kati wanakuwa quickly kufanya transition kwa pass 2-3

Kwasisi ambao huwa hatuishii kuangalia matokeo tu ,dhidi ya city Kuna positive sign zilionekana

Kwasasa inategemea na Sajili mtakazofanya

Uwepo wa GK mwenye footwork , Lisandro ,CB like Kim, Luke Shaw ,

Itawarahisishia kuondoka nyuma haraka na kufika eneo la Midfield
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…