Ona huyu nae mjinga ndomaana ukaitwa nyumbu unafikiri kuachana na mchezaji ni rahisi kama mkataba haujaisha?? Inabidi kuvunja mkataba na kuvunja team inabidi imlipe mchezaji mamilioni ya pesa sasa watalipa wangapi?
Mnawaonea wachezaji bure kufungwa 2:1 wamejitahd , ni timu gan duniani hapa msimu huu inaweza simama dhidi ya mancity ?
Ni mwehu tuu anayeweza wahukumu wachezaji Kwa kipigo cha Leo
Hii Ni sawa na kufuga li joka unalipa unga ,mwisho linakumeza mwenyewe
Tunakumbushana msimu mzima Manjesta fans walimshangilia City kwenye Ligi lakini mwisho wa story ni City kumfunga Manjesta kwenye fainali ya FA na kuvunja rekodi ya Sir Alex Ferguson Kwa kuchukua UEFA champions league against Inter Milan