This might be the toughest final for Pep than UCL final vs Inter Millan hata aweke team ya benchi yaani benchi kuna Rodri,Alvarez,Akanji,Mahrez kwenye UCL atashinda tu
Watu mnaichukulia Enter poa sana ujue kwa ukubwa Enter ni father kwa City hivyo lazima city aingie kwa tahadhari ikienda kichwa kichwa ataliwa kichwa, timu za Italy sio za kuchukulia poa hasa katika hatua za fainali.
Mtu mwenye akili timamu hawezi shabikia goli la tuta
Raha ya goli kipa atunguliwe kutoka mbali kama enzi za kina Rooney,Cr7,Nani,Costa,Dembaba, kina Van de Sar,Casilas,peter Crotch walikua wanajua utamu wa goli jitu linapiga shuti unaona kama moto unakuja sio mpira wa sasa mara sio goli mara offside mara VAR pumbav
Watu mnaichukulia Enter poa sana ujue kwa ukubwa Enter ni father kwa City hivyo lazima city aingie kwa tahadhari ikienda kichwa kichwa ataliwa kichwa, timu za Italy sio za kuchukulia poa hasa katika hatua za fainali.
Ficha ujinga
Inter kapigwa nje ndani msimu ulioisha na Liva UCL hakuna kitachozuia mwacity kubeba ndoo labda Kwa Inter gani hii ya Lukaku na martinez??pole