Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bila Degea na Rashford hii timu ingekuwa alipo Chelsea

Wachambuz wanasema Degea Ni tatizo ,nikweli lakini kwa mfumo wa possession football ,

Kwa mpira huu wa 7 hag asithubutu kuleta Hawa mnawaita ma sweeper

Ndio maana Wala Hana haraka na kutafuta kipa , wakati ndio ingekuwa target ya kwanza

7 hag anaujua ukweli , niliwahi kulisema hili wakati Kepa anasajiliwa Chelsea , mashabiki wa Chelsea walinitukana Sana

Mchukue yule Kepa na footwork yake nzuri mlete manjesta akumbane na Kashi kashi zile za Degea , manjesta tutaikuta nafasi ya 12-15
 
Oya , mancity huwez kumkamata kwenye middle aisee , hii system aliyokuja nayo Pep mwishon hapa atasumbua Sana

Halafu ma FBs wake Ni ma CB natural , ameelezea juz hapa kwanini anafanya hivo

Leo subirien miujiza tu
 
Kaka unaongea sana hivi team yako imeshinda trophy gani msimu huu

Yani uko bize kuisema man utd ya TenHag aliye ifikisha team Fa final..kabeba carabao cup..kaifikisha team europa league robo and he is 3rd in the league secured UEFA spot for the next season

Then kuna hio team yako Haina chochote msimu huu zaidi ya runner medal

Let me remind you ivi unakumbuka ulivoachana na city 8 gap point na mnakimbizia trophy ukawa unasema mpira wenu waku possession na ku overload utamfunga city 2 leg kisa ulim dominate the first leg

WHAT DID POSSESSION FOOTBALL MADE YOU ARCHIVE..?
WHO HAS THE BEST RUN OF THE SEASON BETWEEN YOU AND MAN UTD
Bora unyamaze tu unajizalilisha sana

LOOSER ARSENAL HAMISI
 
#Hamisi na ulikimbilia wapi arsenal alivo anza na bad streak ya ku drop point by loosing matches in the final end

Enh your club is just like another small club with small mentality and few literate fans and illiterate ones like you who need to focus on their life first

Just wait and see the next season yani huyu ten hag unae mu underrated na kuwa overhype wengine ni sababu wao wana fanya vizur kwenye small club just like grahm potter alikuwa lethal sana na Brighton but what was his style of football philosophy at chealsea...what did he archive

Subir ten hag apate his right player wakucheza total football with his own philosophy sio counter attack mliyozoea mwakani tupewe ata 4 legs na hio arsenal yenu tuwa teach kitu kinaitwa kukaa kimya..... And by the way uko mlipo sema ndipo malengo yenu mlipo yawekaga uefa...
kuna kina bayern wakuu arsenal..arsenal haya bana

Wish you the best na team yako ya ku dominate over years kisa mna wachezaji eti wenye range ya age 23-24s

Small team hamis
 
Unayo nafasi ya kuwanyima hawa wapiga kelele wa manchester city/plastic fan

Nakumambia manchester united chukua kombe la FA au vunja KDB na rodri wasicheze fainali ya UEFA

Manchester united
 
Janjajanja zenu mwisho wake ni leo

Nyie wenyewe mnajionea huruma mapema


Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo tumefika fainali kisa ujanja ujanja?
Kwamba City naye kafika kwa ujanja ujanja?
Ni Liverpuul ndio alistahili hiyo nafasi ya kucheza fainali na Arsenal?
Watu mna mawazo mabaya sana na United kisa mlishaizoea kushika nafasi za 6 ila sasa yupo 10Hag hamuamini kama timu imebadilika.
#TUMEWASHANGAZA MSIMU HUU
 
Subiri mechi ifike utaona kama mmebadilika au hapana


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dog anafaa second half
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…