Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tunamaliza ligi huku tukiwa tumeshindwa kufikia standard ya manchester city kimpira japo kwa asilimia 60.

Hii ina maana ya kwamba msimu ujao tutaendelea na maisha ya kubana korodani kwa kila mechi tutakayoiangalia.

Huo ni utabiri wangu

Unapotaka kupambana na manchester city, hatua ya kwanza ni kufikia level yake ya kiuchezaji, Arsenal wameikaribia hatua hii.

Tunafanya makosa mengi, mengi, mengi sana tukiwa ndani ya uwanja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…