Anakosaje mwanae wa UBATIZOMwarabu apewe timu basi. Hao "many quality players" usikute na De Jong yupo.
Waingereza wanaleta mambo mengi. Wasipompa nafasi dogo atasepa yule.Wapumbavu tu..
Kesi mahakama imeifuta..sasa kwa nini wanamkazia dogo?
Duh ! huu uwanja unaitwaje na capacity yake ipo vipi ?The last time out vs Madrid in a friendly
Friendly match between Manchester United and Real Madrid in 2014
#ππ§πͺπ¨π©πππππ§π€πππ¨π¨πππ
#ππ£ππ©ππππ€π§π©πππππ£π¨
#ππ‘ππ―ππ§πππ
#ππππ
man utd |View attachment 2620601
Hivi mbona Lendelof akicheza na watu wengine anakuwa mzuri ila akicheza na Maguire anaonekana mbovu.
Michigan Stadium.Duh ! huu uwanja unaitwaje na capacity yake ipo vipi ?
HaaaahaaaHata ww ukicheza na maguire utaonekana mbovu, maguire ni mzigo ambao utakulazim ufanye kazi mbili mbili
unaitwa Michigan Stadium aKa "The Big House"Duh ! huu uwanja unaitwaje na capacity yake ipo vipi ?
Katika point 9 tunazopigania tunahitaji point 6 tu tujihskikishie champions league.
duuh... π€£Uyouyo
analud msimu ujaoHuyu Amad Diallo anawasha tu moto huko Sunderland.
Bonge la free-kick.
Ten Hag atakuwa na kila aina ya winger. Kazi kwake.analud msimu ujao