Manyumbu Bora muende Europa tu, mkienda UEFA mtaenda kutia aibu Bure. We timu hata kufanya building up kuanzia nyuma shida, Sasa mtaweza kukabiriana hata na RB Salzburg
Ila kushabikia mpira rahaa sana, ujakaa sawa mchezaji anafanya tukio linakucha mshangao...unadhani kocha kaona tukio, kabla ya muda unashangaa kocha nae anafanya tukio la kushangaza.
Unabaki kujiuliza au mimi ndo naangalia mpira tofauti? Ushabiki wa mpira Inarahaa yake kama hauna matokeo mfukoni.
Mpira una matokeo ya kikatili sana
Imagine walivyotuhenyesha na kutufunga mara 2 EPL... leo hii wako kwao wanateswa na timu inayopambana kushuka daraja
Hatuwezi kufunga magoli muda mwingi hatuna mpira tunakimbia kuutafuta.
Hata hivyo hatuna striker tunategemea wide foward kama Rashford na Sancho, wakati mwingine wingers wanakuwa wamekabwa sana timu nyingi hazina wasi wasi wakicheza na sisi hatupati goals kupitia Angle C mara nyingi ni goals za pembeni kwa Rashford na Sancho au Anthony kiasi kulia.
Tuna striker mrefu lakini hatupigi cross kwa sababu ya uchoyo wa wide forwards wetu.
"Hatuwezi kufunga magoli muda mwingi hatuna mpira tunakimbia kuutafuta"
Hili sikubaliani kabisa na wewe, mechi nyingi tu hua zinapatikana nafasi kibao za kufunga lakini pale mbele anakosekana mtu ambae ni fundi wa kucheka na nyavu.
Hata takwimu za viungo pale England zinaonyesha Bruno ni miongoni mwa viungo waliotengeneza nafasi nyingi za mabao.
Hawa jamaa hawana tofauti kubwa hata mbinu ikataokea unaambiwa eleza tofauti kiuchezaji man u ya ole na ten hag lazima upate ukakasi tena ole anaweza kuwa hata kamzidi