Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa sasa tulipofikia sioni utofauti wa timu enzi za sosha na huyu tem hag
 
Kwahiyo tunategemea wale mafala wapate points 9 kwenye mechi 4. 😂

Liverpool anamaliza msimu na points 71. Liverpool wanaweza kuwa na defence au midfield mbovu lakini forward line yao ina watu wa kazi.

Europa League tena!!!
 
Kuna nyumbu wenzio hawatokuelewa, watakwambia "wewe na mzungu nani ana akili??"
 
Mi nilishawahi kuuliza hapa accuracy ya anthony iko wapi maana pass butu vishuti uchwara etc
 
Mimi mpaka muda huu naona kazi kubwa aliyoifanya Jasusi 7Hag tokea ametua Manchester ni kumfurumusha Cristiano Ronaldo tu.
Hivi huyu jasusi wetu kila akiuangalia ule upara wa Pep hua anajisikiaje???
Tunamuomba kuanzia msimu ujao awe anavaa wigi tu maana kwa mpira huu na matokeo haya hana sababu yoyote ya msingi ya kutumalizia nishati ya jua kwenye hio solar panel yake isiyotunza chaji.
 
Daahh *****😂😂
 
Huyu mwamba aombe timu apewe mwarabu..bila hivyo maisha yake pale ni mafupi zaidi
 
Rebuild imekataa

Rescue mission nayo imekataa[emoji23]

Maisha haya basi..kilichobaki tufe na tai shingoni..

We are Manchester United
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…