Kocha nae ukitoa sub anazofanya hakuna change of tactics kabisa hovyooo bure kabisa. Huwezi kuwa na watu hawakupi matokeo ukaendelea kuwakumbatia utegemee ufanikiwe hakuna kitu kama hicho.
Aendelee kuwaongezea mkataba na hela tu kwa mwendo huu hiyo mechi na man city tugome tu kuingia uwanjani maana itakua ni udhalilishaji wa kufunga msimu sheyyziii